Sikushangai kwa sbb bdo mdgo sna,cha kufanya achana na mambo hayo soma kwnza maana yatakuchanganya sna kwa sbb kama hata hilo ujui...
>Uyo ashakusamehe ,lkn hatak kukuambia kwa maneno kwa sbb mwenzio yuko na upeo anajua utaona kama anajipendekeza kwko na kurudia matapishi coz ashasema akutaki
>Akija kukuambia kuw mmerudiana,kuwa makin sna ktgk sual la kuish nae mdg wng hao wanachuo ni pasua kichwa
>Aendelee kuwa anakuja alaf anarud
Idiology super star