Una akili sawasawa wewe?ya hela
Nimemshangaa sana ana 23 anataka kuoa? Worse enough anataka kuoa single maza...!Usioe wait mpk ufike 27-30 utakuja nishukuru sana
Hii hoja Ina mashikoMtu akiota ndoto ameoa kabla ya miaka 30 anastuka usingizini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kula maisha kwanza
Na mimi napitia changamoto hio hio. Nakuelewa sana unachoongelea. Ila 23 usiharakishe.SALAM WAKUBWA.
HERI YA SIKUKUU
TUSHEREHEKEE KWA AMANI NA UPENDO NA KWA WASIO NA UWEZO TUJUMUIKE PAMOJA SOTE BINADAM BWANA.
Mimi ni kijana wa miaka 23 sijaoa bado na nipo kwenye ratiba za kuoa na nimejipanga kila mahali nimefaulu ila hapa kwenye kuchagua naona kama ninafeli, wasichana wa kuwaowa wanakuja wengi tu ila hapa kwenye tabia zao na zangu zinapishana kidogo .
Mimi sijasoma ila nimetoka kwenye levo za chin nipo kwangu nimejenga na biashara zangu ni ufugaji wa kisasa na kilimo na kazi nyingine inayokuja mbele yangu kama naimudu nafanya na nimejiajiri mwenyewe . nimejibana sana ata afya bado haijakaa kama inavyotakiwa nashukuru mungu nilipofikia na ninataka nisonge mbele nahitaji kua na mwenza wakusaidiana na mimi.
Sasa kwenye aina ya wasichana wanao ninyookea ni wale wanaojitapa kwa maumbile na uzuri usista duu kama wote ila kicwani hata 0 ni kubwa hawataki kujishuulisha na kazi yeyote kila anaekuja nasikia anasema UKINIFUNGULIA DUKA LA VIPODOZ NITAFURAHI yani namwangalia alafu nawaza nilipotoka kushika jembe kijijini had nilipo fikia hakuna sapot niliyopew zaidi ya majogoo ya majiran kuniamsha, hamiliki chochote zaidi ya simati simu na begi la rangi za kujiremba .
Hapa ndipo kwenye mada
Kuna msichana ananipenda sana tu ila nae kuna vtu vinanipa shida inawezekana ni akili yangu mbovu naombebi mnipe ushauri iwe sawa .
Amenizidi miaka 4 na miez 5 ana mtoto 1 dume yeye ndio baba na mama, baba mtoto alijiongeza akasepa ila anajituma sana ana kamgahawa na anajua biashara (((kuna muda nawaza ujinga et inawezekana anavyo pambana ivyo ni kwasababu ya mtoto wake isije ikawa nampiga chura teke)))
Naombeni ushauri anajitoa sana kwangu japo anatabia za kunywa pombe matumizi mabaya ya hela
Nimuoe au nipambane na hali yangu maana nashindwa kujua yupi mwema yupi si mwema
Natashukuru kwa ushauri utakao nipa ASANTE.
Asante sana kwa ushauri nimependa hiiiYaani kijana mtulivu na mpambanaji wa miaka 23 halafu unataka kuoa single mother mlevi wa miaka 28!
Umerogwa?
Una wazimu?
Limbwata lipo jamani. Sio kawaida hii.
Dogo acha ujinga, tulia endelea kutengeneza pesa, mabinti wazuri, watamu na wenye tabia njema wamejaa tele mjini na vijijini, hawaishi na hawataisha milele. Jipange hadi miaka 30 hivi, ndio uoe binti mpya kabisa, hao single mother waache wapambane na hali zao. Kwa sasa tulia kabisa.
Yan nasoma koment za wadau nacheka tu kumbe nakosea kinyama et miaka 23 af nataka kuoa single mama yan kama nilikua kwenye ndoto etyNa mimi napitia changamoto hio hio. Nakuelewa sana unachoongelea. Ila 23 usiharakishe.
Kumbuka unavyozidu kufanikiwa kiuchumi, ndio watakavyozidi kukupenda. Ushauri ni kupiga chini wote ambao umri umeenda kidogo na wameshanyanyaswa sana kimapenzi sababu maumivu yao huwa wanayaleta kwa uhusiano wako na kulipizia visasi vya wanaume wengine kwako.Yan nasoma koment za wadau nacheka tu kumbe nakosea kinyama et miaka 23 af nataka kuoa single mama yan kama nilikua kwenye ndoto ety
Nashukuru kwa ushauri mzuriKumbuka unavyozidu kufanikiwa kiuchumi, ndio watakavyozidi kukupenda. Ushauri ni kupiga chini wote ambao umri umeenda kidogo na wameshanyanyaswa sana kimapenzi sababu maumivu yao huwa wanayaleta kwa uhusiano wako na kulipizia visasi vya wanaume wengine kwako.
Ushauri ni kupata mchumba mdogo ambaye UTAWEZA KUMKUMJA ANGALI MBICHI. Manake, kupata mtu ambaye atafanya vile unataka kama mke. After all wewe ndio unaleta kipato cha familia. Shida waliozidi umri haakunjiki, ni masista duu na mashangingi. Tafuta kademu ka umri mdogo. Ukaweke sawa vile unataka. Na ukazalishe. Ila hakikisha ni msichana anayeonyesha dalili za kuwa mama mzuri wa watoto na mke. Manake anakutii kila kitu, hata kazi za rough kama shamba nk anafanya. Pia angalia familia yake. Itachukua muda, lakini usiharakishe. Mambo mazuri hayataki haraka.