mwanga mweusi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 288
- 473
Kuna muda inabidi uchunguze.Ukimchunguza sana bata hutamla
Inategemea na matokeo utakayo pataUkimchunguza sana bata hutamla
Asante nilienda nae mahali alinikata maini kwa pia anazo funua wakat mimi 1 nikimaliza natafuta kitanda tulifurahi ila angejua alivyo jishusha thamani angeliaachana kwanza na swala la kuwa single mother....Ulevi na matumizi mabaya ya hela ni zaidi ya kuwa single mother...HAMTAFANIKIWA mdogo wangu...Amefiti kwenye angle ya upendo na uchapakazi lakini hapo kwenye hizo tabia utakaribisha magonjwa (kutokana na kampani ya Bar) pamoja na umasikini.
Mi binafsi, binti mwenye ujasiri wa kuvaa dela pekee (bila kanga kiunoni) kutoka nyumbani hadi sokoni huwa hata sina muda nae..Wanawaza urembo kuliko kesho.
Ila mkuu hapo napawazaChunga sana....! Naona unataka kununua shamba ambalo tayari lina migogoro...!
Ahaaa wewe si dume masta si unajua sifa tunazo taka mimi namtaka mtu anaejitambua urembo usistaduu 30% uchapakazi 50% hiyo inayobaki ya emergencyTamu ya peremende mate yako mkuu!
Simpo simpo niseme Wewe ungependa kuoa mwanamke mwenye sifa zipi? Kisha mtafute, ukimpata muoe!
Linalowezekana Leo lisingoje Kesho!
MitanoTena
Unatafuta hizi sifa kwa wanawake wa kizazi hiki?Ahaaa wewe si dume masta si unajua sifa tunazo taka mimi namtaka mtu anaejitambua urembo usistaduu 30% uchapakazi 50% hiyo inayobaki ya emergency
Sitafuti nikiamua natafuta mtoto
Hana noma huyu ishatokea tupambane unatakaje sasa tulale auMagufuli akimaliza #MitanoTena tumuongeze #MitanoMingineZaidi
[emoji23][emoji23][emoji23]We dogo unaufala mwingi sana moja singo mom, mbili anakunywa pombe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi nakushauri oa ili uwe mfano labda vijana waraelewa
Hana noma huyu ishatokea tupambane unatakaje sasa tulale au
DuhChunga sana....! Naona unataka kununua shamba ambalo tayari lina migogoro...!