Huyu mwanamke ni mfanye nini?

Duuu....atakua na shida ya akili! Sio mzima kabisa, sio mke. Atakua hana shughuri ya kufanya(hayuko busy)
 

Kama ameweza kuleta madhara makubwa kiasi hicho kwa jambo dogo kama hilo na lisilokuwa hata na udhibitsho, siku akikukuta na kidhibisho anaweza hata kuchoma nyumba au akuangamize wewe kabisa. Hilo sio jambo la kufanyia mzaha hata kidogo.
 
Huyo anafaa kurud kwao na kibano juuu
 
Mna watoto wangapi? na ndoa yenu ina mda gani?
 
Huyo anaweza kukukata dushe usiju ukiwa umelala,kuwa makini.
 
Usimuluze chochote wala kumsemesha kuhusu ilo tukio ww endelea na Maisha yako huku ukijipanga Kimya kimya bila yeye kujua,
 
Huyo atakuw anautoto halafu anaakili ya malipizi kwa hiyo kuw mwangalifu anaweza akakutoboa toboa hata wew na safari yako ikome mapema. Be careful
 
Anza upya.. Kuanza upya sio ujinga
 
Alikuwa kwenye HEAT PERIOD! HUYO SIO KOSA LAKE, HUWA MNAKUTANA MARA NGAPI KWA JUMA? TUANZIE HAPO....
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…