Hivo watu wengine Akil zao huwa ziko sawa kwel? Maana unakuta alishaletwa post kadhaa previous then anakuja na post mpya ambayo ukilinganisha matukio hayaendan sasa nashindwa kuelewa hiz habari huwa za kwel ama mtu akiziona kwa jiran au kusimuliwa then analeta mada kama yeye ndio muhusika. UPUMBAVU TYPEMmhhh...kesho uwahi Milembe! Akili yako haiko sawa wallahi. Kuna post yako humu unadai mchepuko kaenda kumdai mkeo hela ya matumizi, ndo huyo? Nyingine umedai bosi wako anamgegeda "mchumba" wako mwingine,
Mwakani tutarajie upost baba mkwe anamlala mkeo,
Any way matokeo ya NECTA yatoke tu ukamate "0" maana hata kumbukumbu ya mtiririko wa matukio huna! Pumbavu!
Kweli mkuu. Hao ni madogo waliomaliza form 4 juzi. Wapo kwa mama zao wanalishwa kama vifarangaHivo watu wengine Akil zao huwa ziko sawa kwel? Maana unakuta alishaletwa post kadhaa previous then anakuja na post mpya ambayo ukilinganisha matukio hayaendan sasa nashindwa kuelewa hiz habari huwa za kwel ama mtu akiziona kwa jiran au kusimuliwa then analeta mada kama yeye ndio muhusika. UPUMBAVU TYPE
Kweli hiiMkuu dawa Acha nyumba ikae hivyo hivyo hata kwa mwaka .. we hata wage ni wakitaka kuja wakaribishe kwa roho safi uone
Ungeenda kulala nje kama siku 3 uone kama hajakutafuta mwnyw kishajua ww zoba ndio maana kafanya uharibifu huo
Yaani mkaushie kwa mwezi mzima, ukiamka oga zako nenda kazini na urudi jioni. Mpe displine kuwa kama bubu don't ask or question anything for sometimes. Don't buy anything distroyed
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Muhamishie kwangu.
Ndiyo mkuu atajiongeza ataanza nunua polepole uone kama atavunja .. we hujiulizi kwa nini hakukimbilia kwenye vitu vyake ?Kweli hii
Aliachaje?Wifi yangu alikuaga hvyo hvyo...anavunja vitu vyote
[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
talakaaAliachaje?
Hapa yeye ndio wa kupimwa akili.Mmhhh...kesho uwahi Milembe! Akili yako haiko sawa wallahi. Kuna post yako humu unadai mchepuko kaenda kumdai mkeo hela ya matumizi, ndo huyo? Nyingine umedai bosi wako anamgegeda "mchumba" wako mwingine,
Mwakani tutarajie upost baba mkwe anamlala mkeo,
Any way matokeo ya NECTA yatoke tu ukamate "0" maana hata kumbukumbu ya mtiririko wa matukio huna! Pumbavu!
[emoji23] [emoji23] huyo kichaaatalakaa
kuna kipindi alimwagia maji ya betri nguo za mmewe zote
akaona haitoshi akavunja vyombo vyoteee...
walikua wanauza viatu mwenge akavikata kata na viwembe akamwaga rangi zote yaani mmewe anarudi alipiga ukunga huoo....
Kuna mama alimfumania mumewe akachukua nguo za mumewe zoooooote hadi chupi, akatia ndani ya gari la mumewe akaenda kuvitia moto(gari na nguo)talakaa
kuna kipindi alimwagia maji ya betri nguo za mmewe zote
akaona haitoshi akavunja vyombo vyoteee...
walikua wanauza viatu mwenge akavikata kata na viwembe akamwaga rangi zote yaani mmewe anarudi alipiga ukunga huoo....