Huyu mwanamke namuacha rasmi

mzee baba umeandika vizuri sana

[emoji120]
 
Wewe mentor ni genius sana kwenye haya mambo ya mahusiano. Uliwahi kumshauri rafiki yangu kuhusu wanawake wawili na aliscreenshot akanitumia. Naye yupo humu JF japo siijui ID yake lakini aliscreenshot ushauri uliompa DM.

Ni kama umeingia akilini mwangu. Uamuzi wangu ni kwamba kuanzia leo tarehe 1-4-2018 nasitisha mahusiano naye. Asante sana.
 
yaaani ...acha kabisaaa....vijana hawaelewi haya
 
Siku zote nasema wanaume wengine wanapaswa wavalishwe sindiria


Tu hamna ujaja mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…