Huyu mwanamke ataniua jamani

Huenda jamaa ni Shoka moja mbuyu chini! sasa kakutana na mziki mnene CD12.
 
daah! huyu msichana anatabia kama yangu,maana na mie ni shiiideeer.

haumzidi 'mchuchu' wangu. huwa tunakesha, na wala hatukondi. full kunenepa. dozi kila mahala panaporuhusu, ata bafuni tunalianzisha. tukitoka outing, ni mwendo wa 'quickies' huko road. LOL. CC: sonnita
 
Last edited by a moderator:

Mmmmmmmmmh 🙊
 
Last edited by a moderator:
Ucha ujinga unajiua mwenyewe, mko watano kwa demu mmoja na bado hatosheki unasubili nini kumuacha
 
Na atakuua kweli kwanin unakosa control zidi ya mwanamke?
 
Kuna nesi mmoja hapa Mbeya... she is a killer!!!!
Njoo utakavyokuja ila lazima ukae. Nimeng'atuka kwa kweli
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…