Huyu mwanamke ataniua jamani

kibunange

Senior Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
165
Reaction score
148
Waungwana wa JF,

Nilipata mwanamke ambae tuko wanaume watano na wote tunafahamiana, lakini huyu mwanamke naishi nae kwa muda sasa na kaniahidi kuwaacha wengine wote na ameanza kuwakandia.

Tatizo lipo kwenye kufanya mapenzi, anapenda kugegedana kupita maelezo, siku nisipoenda kibaruani tukibaki nyumbani anahakikisha tunagegedana siku nzima.

Usiku ananiamsha analialia kabisa anataka kufanya mapenzi mpaka kuna muda naishiwa pumzi natamani kukimbia mpaka nasinzia kazini kwa kutokulala.

Nisaidieni wadau sijui nimuache?
 
Tukusaidie nini sasa!uamuzi unao wewe kwani jinsi unavyojisikia maumivu au raha uko kwako.Hapa sanasana watakwambia mwache
 

ndio maana aliwapanga watano. sasa wewe umetaka kuwa peke yako,fanya kazi ya watano.
 
Hahah! Duh muache alaf umpate anaekupa kila baada ya miez 2 cjui itakuaje
 
Si ulitakaa chai chai......we pambana nae tu badala ya kumpeleka kwenye maombi siku nzima ye achubuki ama sugu kila mahali?
 

Pumzi ndogo route ndefu? ha ha kula saana mapeas, mafenesi na tende!
ngoja waje wanaume wa shoka wakupe lecture!
 
Ama kweli penye miti hakuna wajenzi. Mahindi yameota kwa asiye na meno! Ni shigidiiiii. CC: sonnita

Hahahahaaa.umeona eeeh? Unamshaurije/unamsaidiaje mtoa mada sasa?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…