Dcxkobe
Member
- Mar 5, 2023
- 57
- 137
Kuna binti mwaka 2018 nilimtongozaga akakubali tena akaonesha kunipenda ila tena nikaadha kumuona wanini.
Yaani kujibu sms hadi nijisikie yaani nilimkinai ata Bado sijamvua nguo alikua anani hendo sana lakini Mimi sijali nikikutana naye hata jiani najifanya nina haraka ili nisiongee nae tu na kila hata nikibadili namba halafu nikaja kutana nae ananiuliza mbona hupatikani.
Nasema nishabadili laini tunapeana mawasiliano tena ila Mimi nakua simtafuti ila yeye ndio ananitafuta tulienda hvo kwa mda Sana yan nilikua cna time nae yaani hadi nikutana nae tu barabaran adi tukawa tumekata mawasiliano sasa takriban miaka 3 tulikua hatujaonana.
Wiki iliyopita nilimuona aise mtoto kanona nkajikuta nimevutiwa nae Tena tukaongea vizur tu nkachukua adi na no zake. Ila nae saiv ananilingia ata sms hajibu inaniuma kinyama maana ana tako kubwa. Limejaa mafuta sijui nifanyaje ili anielewe Tena maana nishaharibu