Ukimuuliza ulikuwa wapi anasema nyumba yote hii nikae peke yangu,. Nilikuwa kwa mashosti zangu napiga mastori ''Hiyo ndiyo kauli yake''
yaani siku hizi tunakurupuka sana kwenye haya mahusiano,Habari wana MMU
Mpenzi wangu ninapomwambia nimepata safari anafurahi isivyo kawaida, ninaporudi bila kumpatia taarifa anachukia na humkuti nyumbani,.
Ukimuuliza ulikuwa wapi anasema nyumba yote hii nikae peke yangu,. Nilikuwa kwa mashosti zangu napiga mastori ''Hiyo ndiyo kauli yake''
Wakuu hapa si kuibiwa mchana kweupee,..
Huwa natamani kusafiri naye lakini gharama ni kubwa sana i can't afford ukizingatia ni majukumu ya muda mfupi tu hayachukui hata mwezi,..
Tafuta nyumba ya chumba kimoja
Kibaya zaidi kwamba nafurahi unaposafiri...kama ingelikua ukiwa hupo anakwenda kwa jirani..ila ukiwa nyumbani anafurahi kua na kampani yako...wanawake wengine wanapenda utoke uende kazini...ili uwape nafasi za kufanya kazi zao...wengine hawawi confortable tunapokua nyumbani....
Habari wana MMU
Mpenzi wangu ninapomwambia nimepata safari anafurahi isivyo kawaida, ninaporudi bila kumpatia taarifa anachukia na humkuti nyumbani,.
Ukimuuliza ulikuwa wapi anasema nyumba yote hii nikae peke yangu,. Nilikuwa kwa mashosti zangu napiga mastori ''Hiyo ndiyo kauli yake''
Wakuu hapa si kuibiwa mchana kweupee,..
Huwa natamani kusafiri naye lakini gharama ni kubwa sana i can't afford ukizingatia ni majukumu ya muda mfupi tu hayachukui hata mwezi,..
Tafuta nyumba ya chumba kimoja
Mpendwa mwajiri, serikali, familia na wengine wote mnaonihusu.
Kwa kutambua kuwa world cup ni ya dunia nzima basi tusaidiane kama ifuatavyo:
1. Boss ukiniona nasinzia ofisini tuamshane tu kwa upole
2. Nikichelewa kufika kazini boss mwezi huu tusameheane tu kwa upole
3. Muhongo umeme mwezi huu tafadhali tusikomoane
4. Mke wangu mwezi huu chukulia tu kama nimesafiri ili tusigombane
5. Chonde chonde boss safari zozote za kikazi zifanyike maeneo ya mjini na padiem boss iongezeke kidogo ili nkalale hotel zenye dstv
6. Strabag naomba barabara zote zifunguliwe ili hata nikichelewa kuamka niweze kuwahi kufika kazini
7. Boss mshahara wa mwezi huu nishikie kwanza maana ntamaliza kwa Ku bett
8. Wafanyakazi wenzangu nikija ofcn cjapiga mswaki tuvumiliane mjue nimekurupuka
9. Mchepuko wangu Tafadhali yale maneno matamu matamu cjui darling, baby ...nahisi huu sio muda wake ntakuudhi bure.
10. Police nikitukana mjue ni hasira tusameheane mwezi huu.
Mwezi huu usitufarakanishe tuvumiliane tuchukuliane ktk kila hali asanteni.