Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 11,567
- 14,342
Habari na ninawasalimia kwa jina la jf. Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo, lkn kinachonishangaza ni kwamba ikitokea nimesahau simu yangu huwa anaichukua na kuikagua na akikuta Kuna namba ya mwanamke hasa wale ambao nimesoma nao huwa tunapenda kutaniana yeye uchukulia kama ni mtu wangu.kwahiyo uchukua namba Hiyo na kuanza kuwaporomoshea matus ya nguoni bila hata kuniuliza niko nae vp, baadae hao watu unipigia cm kuniambia hali hiyo. Mpaka kuna siku moja alinipigia cm dada yangu mida ya jioni na siku Hiyo huyu dada nilikuwa nae akaniambia mademu zako wameanza kiukwel nilikasirika sana kuniambia hivyo. Je huu no wivu wa kimapenzi mpaka kuwaporomoshea wait matus ya nguoni au malezi sifuri. Naomba ushauri wenu....
wew kweli new member peleka jukwaa la MMUHabari na ninawasalimia kwa jina la jf. Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo, lkn kinachonishangaza ni kwamba ikitokea nimesahau simu yangu huwa anaichukua na kuikagua na akikuta Kuna namba ya mwanamke hasa wale ambao nimesoma nao huwa tunapenda kutaniana yeye uchukulia kama ni mtu wangu.kwahiyo uchukua namba Hiyo na kuanza kuwaporomoshea matus ya nguoni bila hata kuniuliza niko nae vp, baadae hao watu unipigia cm kuniambia hali hiyo. Mpaka kuna siku moja alinipigia cm dada yangu mida ya jioni na siku Hiyo huyu dada nilikuwa nae akaniambia mademu zako wameanza kiukwel nilikasirika sana kuniambia hivyo. Je huu no wivu wa kimapenzi mpaka kuwaporomoshea wait matus ya nguoni au malezi sifuri. Naomba ushauri wenu....
Kwan new member had unused I kuchangia au kuomba ushauriwew kweli new member peleka jukwaa la MMU
Ukiwa kama mwanamme unakitwa uwe na msimamo kama mwanamme,cm nyingi sikuizi zina PW na imemzowesha hii tabiaHabari na ninawasalimia kwa jina la jf. Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo, lkn kinachonishangaza ni kwamba ikitokea nimesahau simu yangu huwa anaichukua na kuikagua na akikuta Kuna namba ya mwanamke hasa wale ambao nimesoma nao huwa tunapenda kutaniana yeye uchukulia kama ni mtu wangu.kwahiyo uchukua namba Hiyo na kuanza kuwaporomoshea matus ya nguoni bila hata kuniuliza niko nae vp, baadae hao watu unipigia cm kuniambia hali hiyo. Mpaka kuna siku moja alinipigia cm dada yangu mida ya jioni na siku Hiyo huyu dada nilikuwa nae akaniambia mademu zako wameanza kiukwel nilikasirika sana kuniambia hivyo. Je huu no wivu wa kimapenzi mpaka kuwaporomoshea wait matus ya nguoni au malezi sifuri. Naomba ushauri wenu....
anaoromosha matusi hahahaha ndio mtu wako duh kweli tunajua kuvumilia vitu tofauti...nmi wa matusi ningeshapiga chini waichana wwanaojielewa wengi tu ...hata humu wamo pia.....atamtukana na mzazi wako aumlezi sasa......kuwa na maamuziHabari na ninawasalimia kwa jina la JF,
Kuna msichana nimekuwa nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo, lakini kinachonishangaza ni kwamba ikitokea nimesahau simu yangu huwa anaichukua na kuikagua na akikuta kuna namba ya mwanamke hasa wale ambao nimesoma nao huwa tunapenda kutaniana yeye uchukulia kama ni mtu wangu kwahiyo huchukua namba hiyo na kuanza kuwaporomoshea matusi ya nguoni bila hata kuniuliza niko nae vipi.
Baadae hao watu hunipigia simu kuniambia hali hiyo. Mpaka kuna siku moja alinipigia simu dada yangu mida ya jioni na siku hiyo huyu dada nilikuwa nae akaniambia wasichana wako wameanza kiukweli nilikasirika sana kuniambia hivyo. Je, Huu wivu wa kimapenzi mpaka kuwaporomoshea watu matusi ya nguoni au malezi sifuri.
Naomba ushauri wenu.
Mazoea yapi nduguMazoea mabaya sana