Huyu Mwanamke Ana Maana Gani?

Huyu Mwanamke Ana Maana Gani?

tajiri wa mwanza

Senior Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
138
Reaction score
227
Habari wakuu za jioni,

Mimi ni mume na baba wa mtoto mmja wa miaka kama 4 na nimedumu kwenye ndoa takribani miaka 5 niko na huyu mwanamke.Sasa tokea huyu mtoto kazaliwa huyu mtoto simwelewi kwanza hajafanana na mimi hata kidogo pili sehemu zake za siri ni kubwa kuliko zangu yani huyu mtoto kifupi ana maumbile makubwa mimi ni madogo yaani nina kibamia.

Sasa jana jioni mke wangu alikuwa anamogesha huyu mtoto mbele yangu halafu anaimba mwanaume mashinee na kitoto kinachekelea tu huku akitoa maneno ambayo siyaelewi nahisi ananisema kabisa nanukuu uko mtoto uko hivi hadi mtu fulan hata nusu hafiki, ukikuwa je na kicheko juu .

Hapa sina raha nikimwangalia dogo hasira ndo zinapanda sasa sijui nifanyaje, kwani mimi nimependa kuwa na kibamia jamani namwacha huyu mwanamke na dogo akatafute baba si ukoo wetu wote ni vibamia si mwanangu
 
Aisee.
Pole mkuu.

Hapo kuna jambo nyuma ya pazia
 
Kuna katuni moja niliisoma ndio ipo hiyo habari yako Baba kakaa pembeni anasoma gazeti mama anakiogesha hicho kitoto huku anashangaa! na kusema "baba yako angekuwa kama wewe hakika ndoa yangu ingekuwa na furaha"

Acha uongo mkuu wa kuwasingizia wanawake, hakuna mwanamke anayeweza kuzungumza hayo mbele ya mtoto wake na mbele yako.

Sema na wewe umeisoma hiyo katuni.
 
sasa kama mama mtu anaanza kuusifia mkia wa mwanae wa kumzaa,siku moja dogo akifikisha walau 18 yrs mama atataka ahakiki kama mpini umefikia size tosha.

Atampa.
 
habari wakuu za jioni
mimi ni mume na baba wa mtoto mmja wa miaka kama 4 na nmedumu kwnye ndoa takriba miaka 5 nko na hyu mwanamke.sasa tokea huyu mtoto kazaliwa huyu mtoto simwelewi kwanza hajafanana na mimi hata kidogo pili sehemu zake za siri ni kubwa kuliko zangu yani huyu mtoto kifupi ana maumbile makubwa mimi ni madogo yaani nina kibamia.sasa jana jioni mke wangu alikuwa anamogesha huyu mtot mbele yangu af anaimba mwanaume mashinee na kitoto kinachekelea tu huku akitoa maneno ambayo siyaelew nahis ananisema kabisa nanukuu uko mtto uko hivi hadi mtu flan hta nusu afiki ukikuwa je na kicheko juu hapa sina raha nikimwangalia dogo asila ndo zinapanda sasa sijui nifanyaje kwan mi nmependa kuwa na kibamia jaman namwacha huyu mwanamke na dogo akatafute baba si ukoo wetu wte ni vibamia si mwanangu

anaweza kuwa wako pia, dah mwanamke hafai huyo
 
Hehehehe kapime DNA..... Kama una stress ingia JF huta jutia........abarikiwe sana aliyeanzisha huu mtandao.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Watu wa kupimwa mkojo wako wazi kabisa nashangaa serikali haiwaoni.

Mtoa mada inabisi upimwe mkojo na kamasi. Kwenye kamasi wangalie je ni kamasi au ni ubongo alafu kamasi inabaki kichwani.

Yawezekana ukawa unapenga ubongo unaacha kamasi.
Daaah!nimecheka sanaa hii kitu...umetisha mkuu
 
Hayo mambo yapo na bado hayana mantiki yeyote ile uwe na maumbile makubwa au madogo, kikubwa maumbile yafanye kazi kwa ufasaha na usahihi.

Pia wewe kama baba huna haja ya kufikiria mambo yote hayo fanya bidii familia yako iwe na maisha mazuri kwa sasa na baadaye.
Kuwa baba bora katika familia yako na uwe mfano wa kuigwa katika jamii.
 
Back
Top Bottom