Huyu mwanamke amenishangaza

Mademu huwa wanajua kusoma wanaume kwa haraka sana. Ameshaona kwako ni rahisi kuvuna. Inaonekana yeye hataki serious relationship. Yeye anataka buzi la kuchuna ili maelengo yake ya biashara yatimie na ameona wewe ndiyo utakuwa msaada zaidi ya huyo mwenzako. Ulishakia ule usemi wa hotelini wa ''faaaa kajaaaa, pakua wali wa jaaaa? (fala kaja, pakua wali wa jana)
 
Sio kila ke ni wakusuuza rungu, muache ajitongozeshe akiona humpi attention kuhusu hayo atajiongeza.
Jirani wivu huo, muache mwenzio ajibebee single maza wake 🀣🀣🀣🀣
 
Wanawake huwez wajua,niliwah kupendwa na mke wa mtu pisi ya hatari hadi nilibak kushangaa,hadi nikahis labda hajui kama nina mke kumbe taarifa zote kuhusu mimi alikuwa anazijua

Mimi na yeye wenza wetu walikuwa mbali,wake mikoani wa kwangu ndani ya mkoa mmoja ila wilaya tofauti

ILa nilifaidi sana hilo penzi
 
Madem wa kujitongozesha wanakataga STIM[emoji41]

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
We na yeye nendeni kwa huyo single nigga awaoe.

Huyo mdada anakuchukulia shoga yake.
 
Sasa mzigo gani atakupa ? Au uchi wake if yes atakuwa amekuona wewe ni MTU wa uzinzi

Vijana jiheshimuni mpate kuheshimika na mkiheshimika mtapata wake wazuri ambao wanajielewa na maisha yatakuwa matamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…