Huyu mwanafunzi kaonewa...

nimecheka hadi basi. Huyu mtoto ni jiniaz.
 
We ndio kilaza...solution ya moto ni nini
Naona wewe na huyo mwanafunxi mmefika mwisho wa lami!
Insha ni etrapolation ya mental imagination, mmeshindwa ku imagine, actually mtoa mada lazima upate 0/40 kwa kutoelewa hilo?
 
Sasa mental imagination yako ndo unataka iwe yake sio..
 
You'll never make a hero kwa kutetea failures!

Failures sio... huyo mwanafunzi ni Genius kwa taarifa yako, no blahblah kama siasa za majani mapana,hujiulizagi kwa nini ma-genius wengi walifeli darasani au hata kuacha shule? No kwa sabab ya walimu wenye akili kama yako
 
Mkuu mitihani siyo sympathy, simfahamu huyo unayemtetea , lakini kama mwalimu wake alivyo comment kwenye paper, ameshindwa kwa vile aidha hajui swali au hajui kujibu.
Na hilo hslisemeheki, HE HAS FAILED, full stop.
 
Anyway sema tu Geniuses have their own way of thinking na ndio kinachofanya wasi-fit au kufelu kwenye system iliyozoeleka...ila huwa wanaprove the system wrong kama wakikomaa kwenye wanachokiamini na kukifanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…