Wanawake mna kazi aiseee;mchana jamaa anakukata makonde tena ya haja halafu unampikia mchana huohuo,usiku unamuadalia maji ya kuoga,dinner na dudu unampa anaishughulikia balaa.
Kama wewe ni Mkristo chukua biblia yako fungua Zaburi ya 51 soma yote na then 23 ukimaliza piga magoti sehemu ambayo uko peke yako ongea na Mungu mkumbushe ahadi zake kuhusu ndoa uku ukisema baadhi ya maneno kwenye biblia kama'alichokiunganisha Mungu...'Na kadhalka kwa siku tatu.Kama sio mkristo naomba samahani usinirarue kwa maneno.