Huyu MTU sio ni wa kumwogopa kama ukoma....Giza sio zuri

Kweli imemwogopa sana maana hata jina hutaki kumtaja. Fungu GT, tumfahamu huyu anayekuogofya hivyo; twambie pia kwa nini tumuogope. Je, ni nani huyu?
 
Haipendezi na wala sio ya kushangilia....tunaenda gizani,huyu mtu ni wa kumwogopa kama ukoma....huu ubabe sio....tukishatumbukia gizani hamna wa kufaidi wote tugongana vichwa
awamu hii inaweza kuwa na ufisadi kuliko hata iliyo pita, yote wanataka yawe ya kificho. kimzahamzaha walianza na bunge.........
 
Kweli imemwogopa sana maana hata jina hutaki kumtaja. Fungu GT, tumfahamu huyu anayekuogofya hivyo; twambie pia kwa nini tumuogope. Je, ni nani huyu?
Anajulikana sana huyu anayetaka kutuingiza gizani,tumwogope kwa sababu tukishazama gizani hamna wa kufaidi zaidi ya kugongana vichwa....
 
Kweli imemwogopa sana maana hata jina hutaki kumtaja. Fungu GT, tumfahamu huyu anayekuogofya hivyo; twambie pia kwa nini tumuogope. Je, ni nani huyu?
Huyu nadhani atakuwa ni yule mtukufu saana anayekalia kiti kikuu pale mjengoni mitaa ya city centa pembeni ya maji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom