Haha et Platnum matratra!!Ndo unajiona Diamoooond!!Sorry ivi nini maana ya Platnum member?maana mnayo wawili tu huwa nawaona wewe na Harufu!Kama sio photoshop basi hapo baba amesimama hewani kwa balansi ya mikono yake kuegama getini na hiyo miguu ameiegesha tuu kwenye mabega ya mtoto.
Mtoto angekuwa amewekewa uzito wote wa baba kangeshaanguka chini na kilio juu.
Platimun Matata.
Haha et Platnum matratra!!Ndo unajiona Diamoooond!!Sorry ivi nini maana ya Platnum member?maana mnayo wawili tu huwa nawaona wewe na Harufu!
Platimun❎Kama sio photoshop basi hapo baba amesimama hewani kwa balansi ya mikono yake kuegama getini na hiyo miguu ameiegesha tuu kwenye mabega ya mtoto.
Mtoto angekuwa amewekewa uzito wote wa baba kangeshaanguka chini na kilio juu.
Platimun Matata.
Na kweli aiseee!!! Wasikavishe tena pampers. 😀😀😀Mtoto ni Baharia.