Huyu mtoto anaiga kutoka wapi?

Daaanh yaani kilio chake kitatulizwa na zimamoto!!!!
 
Dogo baba ake atakuwa ni fundi umeme alimuona baba ake akimenya waya
 
Safi sana dogo. Anajua hio kitu haitumii kwa muda huu ndio maana hataki bughudha.
 
Awahiwe jamani anaondoa kitu cha muhimu sana katika maisha yake ni bora hata akate mguu.
 
Awahiwe jamani anaondoa kitu cha muhimu sana katika maisha yake ni bora hata akate mguu.

Kwikwikwi...mkuu umenivunja mbavu
Dogo anachezea ingini!
 
kwa shamba boy alimuona ukikata fensi ya michongoma tehe tehe tehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…