GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,738
- 109,177
Mkuu, wewe ni mtu mzima na unayeheshimika humu JF. Unapoandika vimada vya kitoto kama hivi unajidhalilisha. Tafadhali linda heshima yako.Ni Nicatius Agwanda a.k.a yake anajiita Coutinho ( Kotinyo )
Anatupa sana tabu Sisi tuliozaliwa na kukulia hasa hii Mikoa ya Pwani ya Bahari ya Hindi.
Nawasilisha.
Mwambie Hugo mkuuuMkuu, wewe ni mtu mzima na unayeheshimika humu JF. Unapoandika vimada vya kitoto kama hivi unajidhalilisha. Tafadhali linda heshima yako.
Hebu tupia kasauti kake mkuuNi Nicatius Agwanda a.k.a yake anajiita Coutinho ( Kotinyo )
Anatupa sana tabu Sisi tuliozaliwa na kukulia hasa hii Mikoa ya Pwani ya Bahari ya Hindi.
Nawasilisha.
Mada ya kitoto wakati na wewe wakili msomi unaogelea humo humo?!!......ndomana Mtikila aliwapuuza sana mawakili wa kibongo bongo!Mkuu, wewe ni mtu mzima na unayeheshimika humu JF. Unapoandika vimada vya kitoto kama hivi unajidhalilisha. Tafadhali linda heshima yako.
Mkuu, wewe ni mtu mzima na unayeheshimika humu JF. Unapoandika vimada vya kitoto kama hivi unajidhalilisha. Tafadhali linda heshima yako.
Mada ya kitoto wakati na wewe wakili msomi unaogelea humo humo?!!......ndomana Mtikila aliwapuuza sana mawakili wa kibongo bongo!
Hukuwa na haja ya kuniita mpuuzi, ufafanuzi wako ungetosha. Lakini, unadhihirisha jinsi ulivyo.Achana naye huyo Mpuuzi Mkuu tayari nimeshampa ' dozi ' yaka na nadhani sasa anaisoma na pengine inaweza ikambadilisha Kifikra, Kimawazo na hata Kiupeo. Anadhani Watu humu huwa tunakurupuka tu wakati kumbe tunajua tunalolifanya.
Anadai anachokoza mada. Kuchokoza mada kitoto hakuendani naye.Vijana walumumba sijui mnavutaga nini?
Amendika kitoto sana huyu wa nchi jiraniKuna mtu mtu atakua ame hack acount ya getamycin mana hii sio yeye , with all due respect GETA wew ni legend hum so hiz mada za kigrobal news tuachie sisi amature.
msomi kaAchana naye huyo Mpuuzi Mkuu tayari nimeshampa ' dozi ' yaka na nadhani sasa anaisoma na pengine inaweza ikambadilisha Kifikra, Kimawazo na hata Kiupeo. Anadhani Watu humu huwa tunakurupuka tu wakati kumbe tunajua tunalolifanya.
Legend wa 2013 au siyoKuna mtu mtu atakua ame hack acount ya getamycin mana hii sio yeye , with all due respect GETA wew ni legend hum so hiz mada za kigrobal news tuachie sisi amature.
Achana na huyo pang'ang'a anayejiona anajua kila jambo na kuona yuko sahihi kwa kila wakati na sehemuWakili msomi kaeleza kweli lakini Mkuu,hua una madharau na utoto mwingi lakini
msomi ka
Hana utu uzima wowote huyo mtoto wa mamaMkuu, wewe ni mtu mzima na unayeheshimika humu JF. Unapoandika vimada vya kitoto kama hivi unajidhalilisha. Tafadhali linda heshima yako.