Ngoja niendelee kukomaa na vitabu vyangu vya wealth of magic na rich dad poor dad labda na mimi ndamiliki hata subaru, bana Jf tupeni location nasi tusukume ndinga
Mimi nimeelewa tu kwamba umenunua gari lako la kwanza. Na hiyo ni kawaida ukinunua gari kwa mara ya kwanza utataka tu kila mtu ajue umenunua gari. So usijari tuko pamoja!