financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
Hakuna dhambi yenye adhabu mbaya kwa hapa hapa duniani achilia mbali ahera kama uzinzi
Hongera kwa kumiliki gari wanakuja na wengine
Ahsante kwa tangazo, likifika gari la pili nishtue na mimi[emoji848].
Uko serious umeshindwa kufanya maamuzi juu ya hilo??, una umri gani?
Subaru ImprezaHiyo gari yako ni aina gan mkuu?