Huyu msichana ataniua hakika

Mungu anisamehe ila kusoma miaka yako tu kumenipotezea mood ya kusoma uzi wako
 
Jitahidi angalau kumkazia macho [emoji3] mnapotazamana, ukisha maliza zoezi hilo anza kwa kumtolea thumb[emoji106][emoji106][emoji106], akijibu kwa thumb, sasa anza mambo akiendelea poa ....... tiririka na maneno. tafadhali usinifelishe sijawahi kufeli kumcoach mtu katika haya mambo. Narejea tena isinifelishe sitaki record za morinho, akioneaha tuu ana interest anza kuazima kalamu japo yakwako iko mfukoni mwa shati azima yake, halafu endelea na kutamani kitabu chake chochote alichonacho, wele wako ufeli.

UKO MUHIMBILI HALAFU UNASHINDWA KUMTOKEA MWENZAKO AMBAE NI SHE WE VEEEEPPEEEE
 
barehe noma kama baunsa alie pigwa na mtoto
 
Akat kuna jamaa yake anamkunja kifo cha mende na dogy deile,dem anakula mic deile ya jamaa,..we unalia lia hapa et unamuogopa...hahahaha,dah

Dunia hii.
 
Hayanaga ujuuuuzi yaleeee, kupenda sana utakua chizi (in kiba voice)
 
Acha kupiga punyeto ujasili utaupata. Sifa za mpiga nyeto wengi ni pamoja na kuogopa wananawake 7bu nyegezi anafika mwenyewe. Copy huu ujumbe ulioutuma humu jf umutumie yeye huyo demu. Dr unakuawaje muoga/ aibu????!!!
 
ndicho nilichooomaanisha mkuu kwamba amenikaa akilini sana, na kuhusu shule napiga kwelikweli ila napitia katika kipindi hiki
Cha kwanza jikiri mwenyewe katika nafsi yako ya kwamba unataka uwe naye mbali. Kwa maana jitahidi kuzizuia hisiya zako juu yake, mfanye uwe unamuona kama unavyomuona mwanamke mwengine ambaye haumuhitaji kimapenzi.

Kama mazingira hayaruhusu muwe karibu basi usiyalizimishe ili muwe karibu.

Najua ni kitu kigumu kumtoa mtu unayempenda ndani ya moyo kwa ghafla lakini jitahidi katika hayo. Na kama hisiya zikikujia juu yake jaribu kujiongelesha hata wewe mwenyewe kimoyo moyo kwa kusema " Mimi ni bora zaidi ya hili, Mimi ni Mshindi, mambo kama haya hayawezi kunitawala na muda ukifika haya mambo nitayatawala kwa sababu Mimi ni mshindi".

Dhana ya kujiongelesha unaweza kuona ni kama ujuha fulani hivi lakini niamini katika hili, hali ya kujiongelesha mwenyewe inakupa ujasiri.

Binafsi, ndizo mbinu ninazotumia. Tofauti yangu na yako wewe bado ni mdogo na Mimi ni mkubwa. Piga kitabu kwanza hayo mengine yatakuja tu dogo. Wala haina haja ya kupagawa.
 
Mwanaume mapenzi hayawezi mvurugia ufaulu. Binafsi nilianza mapenzi nikiwa form one, kidato cha nne nilipiga one ya 10. Kidato cha sita one ya 4. Chuo nilipiga GPA 4.6. Kote huko nilifagia kadiri nilivyoona.

Ukipenda/ukitamani tongoz. Mtoto wa kiume unatafuta ushauri kwenye wajibu wako. Khaaa!
 
Habar za hapo BOT, tufanyie mpango thamani ya hela yetu iwe sawa na ukuaji wa uchumi
 
Habar za hapo BOT, tufanyie mpango thamani ya hela yetu iwe sawa na ukuaji wa uchumi

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mkuu naona umeamua kunitukana kabisa. Mimi nimeshatumbuliwa na nimeambiwa hakuna nitakachopata
 
Nenda library ukajisomee huenda utapata mbinu, au google how to make it with a new lady of your heart

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…