Huyu mrembo simuelewi...

Kwako mjanja mjanja Kwa wengine single mother, ex- ,mlupo,kahaba wangu, mzazi mwenzangu... Au nimezaa naye.......changamka umkule Hana jipya huyo
 
Hauna uchawi wa kizungu(Gari)? Muweke kwenye ndinga Mwambie twende huko kwenye magauni pitiliza mpka geto mfanyie ukinjekitile
 
Habari zenu wana MMU.

Akili za wanawake sometime zinachekesha sana. Iko hv kuna mtoto mmoja wa kisingida mweusi huyo ana kiuno kama nyigu na mshepu mmoja matata
Kanunulie hayo magauni afu ukaambie nataka uyavae nikuone ukiwa umependeza. Inshot nunua magauni anayopenda paku malizia mchezo jiongeze na wewe ila huyo mbona anataka sema ww Ndio unashindwa kumalizia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana MMU.

Akili za wanawake sometime zinachekesha sana. Iko hv kuna mtoto mmoja wa kisingida mweusi huyo ana kiuno kama nyigu na mshepu mmoja matata sana tako kama kajambia amila yuko vzr asee naweza sema kwa kijitonyama hii katika top five ya madem wenye shepu basi atakuwa namba 2 kama sio
Sidhani kama kamzidi huyu huko kijitonyama.
_20210817_233305.JPG
 
Pamoja mkuu kuna uzi upitie hapa ns kakura ikiwezekana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom