Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,738
- 6,642
Mkuu kwani unaumri gani?,swala kama hili umeshindwa kulitanbua mpaka umelileta humu?,leta basi vitu vinavyofikirishaHuyu mrembo simuelewi....
Ananipigia simu muda wa majeruhi kuanzia saa tano usiku na kuendelea tena kwa 'video call' huku akiwa kama alivyokuja duniani.Wakuu huyu mdada ana uzalendo kweli..kwa afya ya ndoa yangu?
Sent using Jamii Forums mobile app