Huyu mrembo ananipenda na mimi pia nampenda, ishu imekuwepo kwenye Tunda

Mchawi gheto, baada ya hapo itajulikana
Ila kikubwa Ni watu wa dini kidogo baba ni mwenye kiti wa kanisa na mama ni kiongoz wa wamama kanisani. Ila habar za sx after marriage hizo me sinaga, bora tukataane mapema maana ndoa za sikuhiz ni changamoto
Uliposema unamsaidia kifedha basi naona anakuona kama mtu wa kawaida ambaye akiwa na matatizo utamsaidia. Miaka 3 mko pamoja na pia ana miaka 25 ambaye matured sasa inakuaje anaogopa kwenda guesthouse. Inawezekana yafuatayo:

1. Ametoka katika Familia ya kidini na mtiifu sana anangoja ufunge ndoa lakini utampima ukiona mapenzi yake kwako hayana intensity na always anapenda kuongea na wewe kwahiyo sex is not priority.

2. Inawezekana anakuja kwako wakati ana shida za hapa na pale na kukubembeleza na wewe ndio unampa mkwanja kila mara kwahiyo anaona aendelee tu.

3. Mtu mwingine anakula ila hayuko Tahari kukuambia maana hatopata mkwanja tena.

Inabidi kwanza uchukue sehemu yako mwenyewe halafu umpime kuangalia kama kweli anakupenda au la. Inaonesha huyu mwanamke anakuona uko dhaifu kimapenzi ndio maana amekuambia yote hayo.
 
Sina plan ya kumuoa leo wala kesho, hata nikiwa na maisha mazuri vipi, ana muda wa kustruggle sana kwangu ndo aje kuolewa baadae
Una plan mzuri Sana za kuanza maisha 2012 Safi Sana kiongozi

Kingine unategemea kuoa after kutoka nyumban kwenu na huyo mlimbwende wako sina uhakika lkn huenda kuna asset umewekeza na umejipanga vilivyo kuanza maisha Safi Sana


Na mna mikakati gani na huyo bibie kunako kuelekea maisha ya Ndoa na Cha mwisho kua kwanza acha wenge la kukimbilia Ndoa braza settle kwanza na uwe na foundation
 
Back
Top Bottom