huyu mpenzi wangu simuelewi

Sasa imenibidi nicheke tu....
Wakuu wanakupa ushauri na kukupa picha halafu wewe unakazia kuwa "namhudumia kama mke MTALAJIWA", ngoja na sisi tukae kimya kama wanakamati WATALAJIWA wa harusi yako na maumivu ya moyo (a.k.a mke MTALAJIWA) wa maisha!!
Haaa haaaa aisee umenichekesha sana
 
Huyo si wako, tafuta mwingine,Unampa salio lakini hata kwa SMS hakukumbuki?!!
nimeshindwa kimuelewa ni mud a mrefu kama mwaka sasa nimekuwa nae lakini saizi simuelewi hivi najiuliza labda kwa sababu ya umbali inanipain sana kwa kweli , kila muda nafikiria kosa langu liko wapi kwanin yuko tofauti
 
vitu vingine sio vya kuomba ushauri......endelea kumtumia pesa na vocha mi najisevia kwa kutumia condom niko huku Mbeya mimi niko naye
 
Unahudumia afu huko mbeya kuna jamaa linampanda tu, kama linapanda daladala
 
mkuu huwa kuonyesha upendo kwake na kumsaidia pesa za mahitaji madogomadogo kama mpenzi Wang lakin haonyeshi upendo kwangu
mkuu wewe hapo umeshajua kabisa kama huyu mtu hakupend sema tu anapretend tu labda ili azid kupata support unayompa kiuchumi sasa mimi shida nayoiona kwako nji moja ni kwamba unashndwa kuukubali ukweli..hapo ndo tatizo lilipo bro
 
Ongeza dau Mkuu za hizo unazomtumia utaona ataanza kushukuru hadi utashangaa.

 
Mgaa gaa na upwa hali wali mkavu!!!!so wapo wanaofurukuta naye huko.
 
Afu mi nko mbeya embu nipe namba yake nimcheki
 
Unadhan wahenga waliugua dengue waliposema fimbo ya mbal haiui nyoka
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] jamaa jinga kweli wewe [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mimi nakushauri uanze kumsomesha, au ashamaliza shule?
We jamaa hata kama humpendi mshikaji kuwa kibinadamu basi..., Anyways huwa hajibu labda kwasababu ya network inakuwa inasumbua sana hasa siku hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…