huyu mpenzi wangu simuelewi

Sasa imenibidi nicheke tu....
Wakuu wanakupa ushauri na kukupa picha halafu wewe unakazia kuwa "namhudumia kama mke MTALAJIWA", ngoja na sisi tukae kimya kama wanakamati WATALAJIWA wa harusi yako na maumivu ya moyo (a.k.a mke MTALAJIWA) wa maisha!!
 
Nitumie Namba yake Nimuulize Kama anafaa kuwa wife material
 
Sasa imenibidi nicheke tu....
Wakuu wanakupa ushauri na kukupa picha halafu wewe unakazia kuwa "namhudumia kama mke MTALAJIWA", ngoja na sisi tukae kimya kama wanakamati WATALAJIWA wa harusi yako na maumivu ya moyo (a.k.a mke MTALAJIWA) wa maisha!!
Sasa imenibidi nicheke tu....
Wakuu wanakupa ushauri na kukupa picha halafu wewe unakazia kuwa "namhudumia kama mke MTALAJIWA", ngoja na sisi tukae kimya kama wanakamati WATALAJIWA wa harusi yako na maumivu ya moyo (a.k.a mke MTALAJIWA) wa maisha!!
mi nimejibu kama walivyoniuliza Leo itakuwa mwisho kuhudumia
 
Kaka jikaze achana nae huyo dem hakupendi yupo na wewe ili awe anapatapata misaada unayompatia atakupa maneno mazuri ujue ni mke kumbe hamna kitu.Huko aliko kuna jamaa anagegeda kila siku.Ukipuuzia huu ushauri wangu utakuja kunikumbuka mbekeni.
 
Brother unaibiwa fedha zako, muda na hisia pia, sasa kazi kwako!!
 
Sa kaka ukiacha kuhudumia unazan me izo vocha na pesa ntapata wap??... maisha kusaidiana we mpe tu anpe na mm..
 
Huyo si wako, tafuta mwingine,Unampa salio lakini hata kwa SMS hakukumbuki?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…