Mimi nakushauri uanze kumsomesha, au ashamaliza shule?wakuu habari zenu Nina mpenzi Wang Mimi niko Tanga yeye yuko mbeya ila simuelewi nimekuwa nikimuhudumia kama mke Wang mtalajiwa mahitaji kama fedha za matumizi madogo madogo lakini nikimtumia huwa anakaa kimya mpaka nimuulize ndo huwa anashukuru , nikimtumia vocha huwa hajawai nipigia zaidi ya sms tu nayo mpaka nimtext wakuu msaada Wa mawazo na ushauri anaweza kuwa wife material kwel
Duh...unataka jamaa anywe sumuMimi nakushauri uanze kumsomesha, au ashamaliza shule?
Kusoma hajui hata picha haoni.Duh...unataka jamaa anywe sumu
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Naomba namba yake ili nimuulize kama kweli anakufanyia hivyo
wakuu habari zenu Nina mpenzi Wang Mimi niko Tanga yeye yuko mbeya ila simuelewi nimekuwa nikimuhudumia kama mke Wang mtalajiwa mahitaji kama fedha za matumizi madogo madogo lakini nikimtumia huwa anakaa kimya mpaka nimuulize ndo huwa anashukuru , nikimtumia vocha huwa hajawai nipigia zaidi ya sms tu nayo mpaka nimtext wakuu msaada Wa mawazo na ushauri anaweza kuwa wife material kwel
Mimi namuhudumia kama mke Wang mtalajiwa ana mahitaji madogo madogo lazima nimsaidieWenzako tunahudumia wake wewe unamhudumia demu! Kweli Duniani hatufanani.