Huyu Mpenzi Ananitumia?

Mwaya hakuchezei huyo, she has been molded by maisha ya sasa; Usipochezea unachezewa!
 
Wewe unakutana na demu maeneo ya atm, tena anakucheck unavyochomoa wekundu wekundu unategemea nini?
Wewe kwa sasa ni ATM yake ndogo, umeshalikubali hilo ......hivyo usije kutulalamikia.
 
Pale binti anaposema sifanyi kwa sababu mi ni bikra ndipo ninapokataa mimi!!!! Hapo tu.
 
Pale binti anaposema sifanyi kwa sababu mi ni bikra ndipo ninapokataa mimi!!!! Hapo tu.

sasa we unataka akuambie sababu gan,i ye anajua nini maana ya bikra na anajua inapaswa itolewe wakati gani...
shime mabikra tuamke tuendeleze msimamo wetu ingawa challenge ni nyingi
 
Ila kweli mkuu inaweza ikawa gelesha!
Lakin mbona titi zimemsimama?

nan kakuambia titi kusimama ndo hapigwi au ndo bikra?mkuu wewe mgeni nin kwa issue za wanawake?naona wanakukuza mtoto wa mwenzao!!zinduka mkuu, piga piga kichwa chako na useme mie sio Zezeta tenaaaaa!!
 
jamani kwani kwenye ubikra hakuna kuthaminiana, ina maana thamani ya mwanamke ni mpaka akupe hiyo ikotoayo utu jamani,kama ndio hivyo bikra hatakiwi kua in love relationship maana, hivi kwa nini hela za wanaume kwa mwanamke ni kama deni hadi alipe.

Thamani kwa mwanamke haijalishi yu bikra au lah, wote wanastahili.
Ila namna ya mbinu huyo dada aliyotumia kumteka ZEZETA hainishawishi kabisa kuamini yu bikra, pili mwanamke anayependa kuomba omba hela mara nyingi huwa hatulii kwa mwanaume mmoja maana kwake pesa kwanza mengine baadaye...
 
Ulivyo zezeta, hujakumbuka hata kumuuliza ni bikra ya wapi.
 
pole sana me naona uwahi gari mapema kabla ujaachwa maana waweza kuvuliwa nguo zote na majangili katika huo msitu huo mnene ukaja kuadhirika bure ni bora kukimbia mapema kuwahi usafiri hata wa baskeli
 
bora uwe mjanja wa village kuliko kuwa zezeta wa town.
 

do u think its ize kumpa gal hela huku akikwambia usubiri, au utasitisha huduma
 
Achana na hiyo paper lovving wewe,huyo mdada itakuwa ndo mcezo wake,ogopa sana mdada mlokutana bank au kwenye hoteli kubwa,ni wawindaji hao,kakaangu aliwahi honga mkopo wake wote alokopa kwenye bank fulani hadi saa hizi anajuta.
 
Achana na hiyo paper loving wewe,huyo mdada itakuwa ndo mchezo wake,ogopa sana mdada mlokutana bank au kwenye hoteli kubwa,ni wawindaji hao,kakaangu aliwahi honga mkopo wake wote alokopa kwenye bank fulani hadi saa hizi anajuta.
 
Nani kakudanganya changudoa titi zinakuwa kandambili? Wapo wenye titi saa 6 wengi tu.

Mh! Bas nitamuomba anioneshe bikra yake ili nijue ukweli!
 
jamani kwani kwenye ubikra hakuna kuthaminiana, ina maana thamani ya mwanamke ni mpaka akupe hiyo ikotoayo utu jamani,kama ndio hivyo bikra hatakiwi kua in love relationship maana, hivi kwa nini hela za wanaume kwa mwanamke ni kama deni hadi alipe.

Hela Zangu ameztaka Mwenyewe ila kudinyana lazima tudinyane!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…