Huyu mpangaji mwenzangu ananitafuta nini?

Huyu mpangaji mwenzangu ananitafuta nini?

Nyumba za kupanga tabu sana. Mkuu dunduliza ujenge kwako na uzungushe ukuta wa maana.... uishi unavyotaka.
Ujenzi wetu sisi masikini ni wa taratibu...!!ndo nipo kwenye hatua hizo
 
Jaribu kumwambia kuwa hutaki mazoea nae.
Akiendelea mkamatishe polisi walau akae lokapu siku moja tu.
Harudii.
 
Back
Top Bottom