Huyu Mo Dewj ni tapeli, atuachie Simba yetu

Huyu sio mwekezaji bali ni tapeli alikubuhu

Amejimilikisha timu kinyume na Sheria, anawatumia mashabiki mbumbumbu na maamuma wa Simba kumkingia kifua.

Mwambieni Simba hawezi kuimiliki na ataondoka kwa aibu. Aende kwao akaanzishe timu yake, sisi simba asili hatumtaki.

Ameiibia simba vya kutosha, sasa basi
ID bandia inapomkandia mwenye hela zake
 
Alishakuwa na timu zikamshinda sababu hazikuwa na mashabiki akahamua kuja Simba sababu ina mtaji wa mashabiki
Hilo mashabiki oyaoya hawalioni, wanafikiri Mo anaisadia Simba sc zaidi anavyonufaika yeye binafsi na familia.
 
Hilo mashabiki oyaoya hawalioni, wanafikiri Mo anaisadia Simba sc zaidi anavyonufaika yeye binafsi na familia.
[/QUOT
ni heri ngamia kupenya ktk tundu kulik tajiri huuu msemo hauakisi kabsa ingelifaa ni heri ngamia kupenya kwenye tundu kulik maskinii
 
Watu wanavyoiweka ni kama vile Mo anapata hasara Simba. Kama anapata hasara kwanini asiachane nayo?

Huyu Mo atuachie timu yetu. Kama mpira ni hela akaanzishe timu yake.
 
Back
Top Bottom