Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 10,500 Reaction score 17,554 Aug 28, 2019 #21 mng'ato said: Sasa hio machine ya maana afu ina Automatic transmission,ya nini sasa mkuu? Click to expand... Gari kama hiyo automatic inakua haina ladha kabisa. Mfano mtu anachukua Hilux D4D automatic. Naona kama anapoteza hela hivi
mng'ato said: Sasa hio machine ya maana afu ina Automatic transmission,ya nini sasa mkuu? Click to expand... Gari kama hiyo automatic inakua haina ladha kabisa. Mfano mtu anachukua Hilux D4D automatic. Naona kama anapoteza hela hivi
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,391 Reaction score 59,148 Aug 28, 2019 #22 Namimi nipost naweza nikazipata nikamiliki
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,135 Aug 28, 2019 #23 Mzee Kigogo said: Gari kama hiyo automatic inakua haina ladha kabisa. Mfano mtu anachukua Hilux D4D automatic. Naona kama anapoteza hela hivi Click to expand... Kabisa mkuu nadhani wachache watakuelewa hapa.
Mzee Kigogo said: Gari kama hiyo automatic inakua haina ladha kabisa. Mfano mtu anachukua Hilux D4D automatic. Naona kama anapoteza hela hivi Click to expand... Kabisa mkuu nadhani wachache watakuelewa hapa.
Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 10,500 Reaction score 17,554 Aug 28, 2019 #24 mng'ato said: Kabisa mkuu nadhani wachache watakuelewa hapa. Click to expand... Watu wengi wamezoea automatic ila hizi gari kubwa za diesel upate manual ni tam sana asee
mng'ato said: Kabisa mkuu nadhani wachache watakuelewa hapa. Click to expand... Watu wengi wamezoea automatic ila hizi gari kubwa za diesel upate manual ni tam sana asee
leonaldo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 2,584 Reaction score 3,185 Sep 30, 2019 #25 Crimea said: Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi! View attachment 1162163View attachment 1162164View attachment 1162165 Click to expand... Wanaomsingizia ama kumchukia makonda hawajaanza Leo toka enzi za bashiteee,lakini Mungu mkubwa alivuka na hata sasa atavuka tumwombee.
Crimea said: Huyu hadi 2020 miezi kama hii ntakuwa nalo home. Kikubwa afya na uzima basi! View attachment 1162163View attachment 1162164View attachment 1162165 Click to expand... Wanaomsingizia ama kumchukia makonda hawajaanza Leo toka enzi za bashiteee,lakini Mungu mkubwa alivuka na hata sasa atavuka tumwombee.
King shark Member Joined Aug 4, 2019 Posts 32 Reaction score 18 Sep 30, 2019 #26 Hongera yko mkuu, ss ngj tubaki na hivi visubaru vyetu
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,252 Reaction score 45,799 Sep 30, 2019 #27 leonaldo said: Wanaomsingizia ama kumchukia makonda hawajaanza Leo toka enzi za bashiteee,lakini Mungu mkubwa alivuka na hata sasa atavuka tumwombee. Click to expand... Weweeeeee unaumwa ugonjwa gani?? Sisi tunajadili kuhusu Magari huyo makonda anahusikaje Kwenye magari??
leonaldo said: Wanaomsingizia ama kumchukia makonda hawajaanza Leo toka enzi za bashiteee,lakini Mungu mkubwa alivuka na hata sasa atavuka tumwombee. Click to expand... Weweeeeee unaumwa ugonjwa gani?? Sisi tunajadili kuhusu Magari huyo makonda anahusikaje Kwenye magari??
leonaldo JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 2,584 Reaction score 3,185 Sep 30, 2019 #28 pureView Zeiss said: Weweeeeee unaumwa ugonjwa gani?? Sisi tunajadili kuhusu Magari huyo makonda anahusikaje Kwenye magari?? Click to expand... Ugonjwa wa kusamehe kwani wewe huja ambukizwa? Aya!!
pureView Zeiss said: Weweeeeee unaumwa ugonjwa gani?? Sisi tunajadili kuhusu Magari huyo makonda anahusikaje Kwenye magari?? Click to expand... Ugonjwa wa kusamehe kwani wewe huja ambukizwa? Aya!!