MwanaFalsafa1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 5,564
- 850
Hawa viongozi wetu kweli wanapenda starehe! Hebu ona walivyokenua! 'Enzi za Mwalimu' kulikuwa hakuna mambo kama haya. Viongozi walikuwa serious wakifanya kazi usiku na mchana si kwenda kwenye starehe! Sokoine angeliwasikia asingewaacha! Uongozi ulikuwa ni sacrifice haswaaaa leo uongozi ni kutanua.
Swali linajieleza pamoja na picha, naombeni mnisaidie kujua aliko huyu bwana, maana ni siku nyingi sijamsikia wala kumuona kwenye vyombo vya habari,
Hivi yuko hapa nchini??
Mkuu sasa hapa umezidi. Sawa wana takiwa kuchapa kazi ila ukiwa kiongozi ina maanisha wewe ni kazi 24/7 usiwe na social life? Na hata hao viongozi unaosema walikua wana fanya kazi usiku na mchana ni wewe tu ulikua hauoni kwa maana wakati huo kulikua hamna source nyingi za habari. Na hata ukiangalia baadhi ya video na picha za zamani utaona mtu kama Nyerere kwenye tafrija mbali mbali.
Tafrija alizokuwa akihudhuria Nyerere zilikuwa ni dhifa za Taifa za ugeni toka nje na zinazohusu shughuli za Chama na Serkali tu. Viongozi wa zamani walikuwa hawawazi habari ya kumiliki bendi na kwenda muziki ama bar badala ya kuwatumikia wananchi! Hawa viongozi wa sasa hata Twanga Pepeta wanakwenda! Nasikia Masha pale Rose Garden ana kiti chake maalum! Ukiwa kiongozi inabidi mambo mengine ya starehe u-sacrifice kama kweli unataka kuwatumikia wananchi kikamilifu.
Acheni uchokozi!Swali linajieleza pamoja na picha, naombeni mnisaidie kujua aliko huyu bwana, maana ni siku nyingi sijamsikia wala kumuona kwenye vyombo vya habari,
Hivi yuko hapa nchini??
Hivi unajua kuwa wewe ndiye mpumbafu, ebu fikiria waziri wako unayelipa kodi akalipwa mshahara, haujamuona, hauulizi!!? kumbuka wakati wa Lyatonga, alikuwa anapita hadi mitaani kusimamia utekelezaji wa maagizo yake, sasa huyu vipi?? Nguruwe mkubwa weWacha umbeya wewe! Pambafuu Nyambafuu!
Hivi unajua kuwa wewe ndiye mpumbafu, ebu fikiria waziri wako unayelipa kodi akalipwa mshahara, haujamuona, hauulizi!!? kumbuka wakati wa Lyatonga, alikuwa anapita hadi mitaani kusimamia utekelezaji wa maagizo yake, sasa huyu vipi?? Nguruwe mkubwa we
Wacha umbeya wewe! Pambafuu Nyambafuu!
Mimi ni mstaarabu sana, lakini nikichozwa ni mkali zaidi, ebu anagalia hiyo aticle niliyokuwekea, hivi ni sawa kuambiana hivyo? kwa wewe ninayekuheshimu nakuwekea hiiduhh mkuu punguza munkari