Ati we Mwarabu wa wapi?
Au anakuchokoza tu?
kuna muda natamani sana kutulia njia kuu kwani michepuko siipendi kabisa kwani hata kiuchumi hua inanidatisha kwa matumizi mabovu ya mkwanja wakati nina mtu wangu lakini kama mtu mwenyewe kila siku nikimgusa anadai kachoka hataki nifaidi mambo yetu yale hadi inafikia muda natamani kutoka ucku nikatafte demu because uvumilivu unakua mgumu jamani wanawake mbona mnakua ivyo bahna?
Una fiksi sanaa! !!!!!!!!!
jf kuna wanawake kwan?
Fiksi tu hizi, hakuna mume hapa...
Fiksi tu hizi, hakuna mume hapa...
jf kuna wanawake kwan?
Kweli,mume wastyle hii tabu tupu
Jitathimini kwanza kaka, inawezekana naye kachoka kugeuzwa choo, hapati mchomo unaomfikisha. Wakina dada wengi kama hawafikishwi mara nyingi huchukia hayo mavitu kaka. Sasa ole wako apate wa kumfikisha huko nje, utajuta kwa nini ulizaliwa mwanaume kakaInawezekana na wewe ni mbabembabe sasa na yeye analipiza kwa njia ile ya "ukimwaga mboga....!!"
Mpaka uliamua kumuoa inamaana uliona mnaendana na unammudu pia! So, mabadiliko yake inamaana ni njia aliyoona inafaa kufikisha ujumbe wake kwako!! Na mpaka umegundua hilo it means ushaupata ujumbe!! Kazi ni kwenye kuutafuta huo ujumbe sasa ujue ana lipi moyoni...!! Kama utamtoa outing hayaa, kama utamtafutia kazawadi hayaa, kama utarudisha penzi kama siku unaanza kupiga sound hayaa....!! Cha msingi mpe nafasi afunguke mwenzio
nitarudi
kuna muda natamani sana kutulia njia kuu kwani michepuko siipendi kabisa kwani hata kiuchumi hua inanidatisha kwa matumizi mabovu ya mkwanja wakati nina mtu wangu lakini kama mtu mwenyewe kila siku nikimgusa anadai kachoka hataki nifaidi mambo yetu yale hadi inafikia muda natamani kutoka ucku nikatafte demu because uvumilivu unakua mgumu jamani wanawake mbona mnakua ivyo bahna?
Jitathimini kwanza kaka, inawezekana naye kachoka kugeuzwa choo, hapati mchomo unaomfikisha. Wakina dada wengi kama hawafikishwi mara nyingi huchukia hayo mavitu kaka. Sasa ole wako apate wa kumfikisha huko nje, utajuta kwa nini ulizaliwa mwanaume kaka
Im sorry bro, nilimaanisha mleta thread ajitathimini, sio weweNijitathmini vipi?? Mana mie nimemshauri atafute kinachomfanya mkewe agome kutoa unyumba kabla hajaamua kutoka nje!!
kuna muda natamani sana kutulia njia kuu kwani michepuko siipendi kabisa kwani hata kiuchumi hua inanidatisha kwa matumizi mabovu ya mkwanja wakati nina mtu wangu lakini kama mtu mwenyewe kila siku nikimgusa anadai kachoka hataki nifaidi mambo yetu yale hadi inafikia muda natamani kutoka ucku nikatafte demu because uvumilivu unakua mgumu jamani wanawake mbona mnakua ivyo bahna?
Fiksi muhimu...halafu naomba uniruhusu nkutoe huo ushungi, nataka nione kipilipili chako