Huyu mke nimechoka?

LEVEL

Senior Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
195
Reaction score
51
kuna muda natamani sana kutulia njia kuu kwani michepuko siipendi kabisa kwani hata kiuchumi hua inanidatisha kwa matumizi mabovu ya mkwanja wakati nina mtu wangu lakini kama mtu mwenyewe kila siku nikimgusa anadai kachoka hataki nifaidi mambo yetu yale hadi inafikia muda natamani kutoka ucku nikatafte demu because uvumilivu unakua mgumu jamani wanawake mbona mnakua ivyo bahna?
 

Inawezekana na wewe ni mbabembabe sasa na yeye analipiza kwa njia ile ya "ukimwaga mboga....!!"

Mpaka uliamua kumuoa inamaana uliona mnaendana na unammudu pia! So, mabadiliko yake inamaana ni njia aliyoona inafaa kufikisha ujumbe wake kwako!! Na mpaka umegundua hilo it means ushaupata ujumbe!! Kazi ni kwenye kuutafuta huo ujumbe sasa ujue ana lipi moyoni...!! Kama utamtoa outing hayaa, kama utamtafutia kazawadi hayaa, kama utarudisha penzi kama siku unaanza kupiga sound hayaa....!! Cha msingi mpe nafasi afunguke mwenzio
 
Inavyoonekana humkuni vizur ndo maana anajionea michosho tu hata kukupa.
 
Na yy atakua na mchepuko wake haiwezekani yy kila cku kachoka soma alama za nyakati!!!!
 
ndoa yenu ina mda gani mpaka sasa?
 
kampata anayemkuna ipasavyo na ana mpa bure na kumuhonga, wewe kazi yako kuhonga mzigo wanapewa wengine wanaojua kukuna
 

anataka Pete huyooo
 
jf kuna wanawake kwan?

kuna wanawake ambao wamekataa kuburuzwa maana nyie akina kaka ukikaa vibaya tu utaburuzwa kama kapeti! tulienda Beijing kwani kuna tatizo?
 
We nawe umezidi!! Kila siku tu unataka aaagh! Siku nyingine uombage poh! Aagh!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…