Huyu mkaka jamani lol

Ukimuona mwenzio ananyolewa bila kutiwa maji kichwani wewe chako kitie kabisa.....
 
Fanya ivi mueleze isia zako ila husisahau isiwe ni pamanent kwamba inamaliza shida tu only way
 
....ujue hauko mwenyewe mpo wengi na usitegemeee unaweza kuwasambaratisha wote, lazima kutabaki masalio
 
Haya mapenzi mi nishayachoka hebu nikae upande mwe!!We ni rafiki tu na utabaki kuwa rafiki..Unajua tayari too much nasty details...Hakutokuwa na heshima kama inavyotakiwa...Jamani ehhh msidanganyane HAKUNA URAFIKI KATI YA MWANAMKE NA MWANAUME mtaishia kutamaniana tu na mtongozane!!!
 

...sasa wewe c ndie galfrend wake.....wataka amtume yupi? .....huyo anakurusha roho tuu.... ingia mzima mzima bibie....utajuta ukiiacha nafasi......
 
Last edited by a moderator:
hata usijidanganye kuwa ataacha. mshinde shetwaini bidada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…