Huyu mkaka jamani lol

Huyu mkaka jamani lol

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
573
Reaction score
140
Hi guys, Jamani kuna mkaka mmoja alihamia hapa jengoni kwetu kutoka Mkoani. Huyu mkaka ni handsome aisee kwa vigezo vyangu lakini, ana features ninazozipenda. He is tall with six pack, charming, black, ukija kwenye motion ndo usiseme! Alitokea kunizoea nami nikamzoea tukawa marafiki saana almost 6 months now. Ananiamini sana kiasi kwamba kuna vitu ambavyo he suppose to tell his girlfriend to do ila huwaga ananiambia mimi ndo nifanye. Let say kumsaidia issue za TRA, Kulipia bill za maji na umeme, kupeleka document fulani mahali n.k.

I real like him, lakini ana tabia moja ambayo haifichi na wala haogopi kunisimulia kuhusu wasichana anaodate nao. Yan kila akitoka na msichana atanisimulia kama kumponda atamponda kama kumsifia atamsifia. Tatizo langu kwake, haipiti siku 3 bila kumuota though simuoti kwa majambozi.

Naumia tu kimoyomoyo, i wish nimwambie hisia zangu ila naogopa. Najiuliza je akikubali kuwa na mimi ataacha kweli tabia yake? Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.
 
Tabia ya mtu ni ngumu sana kuibadiri,ila kwakuwa waswahili husema kipendacho roho hula nyama mbichi basi we jitose tu,mweleze hitaji la moyo wako!,kwakuwa ni mwanaume atakuelewa kiurahisi sana,ila swala la kudumu nae kwa mantiki hiyo halina uhakika!
 
Nahisi kama tukiwa na relation urafiki utakufa. Kitu ambacho sipendi kitokee!
 
Kwi kwi kwi kwi kwi lol!!!! Mzima weye!? 🙂🙂

Tall, dark. Sounds like someone I have been taking to bed with me in my dreams.
Huyo wa kwako yukoje? Mwembamba? Mweusi sana ama chocolate?
 
Naumia tu kimoyomoyo said:
je akikubali kuwa na mimi ataacha kweli tabia yake[/COLOR]? Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu.

Kama umeamua kuutendea haki moyo wako, do that ila hapo pa kuacha tabia yake SAHAU!!! Kama ni tabia yake hawezi kuiacha mpokee alivyo au bakini kaka na dada tu
 
Hizi ndoto nyingine nzuri sana. Usitake kuzibadili na ukafanya kweli maana utaanza kuota ndoto mbaya.
 
Tall, dark. Sounds like someone I have been taking to bed with me in my dreams.
Huyo wa kwako yukoje? Mwembamba? Mweusi sana ama chocolate?

image.aspx

He looks like this guy! Tena anapenda kuvaa vizibao wee utamtaka, huwa natamani nimuwao (nimuhug) kila wakati nikimuona.
 
hivi kitambi ni one pack?
kuna staili nyingi za kutongoza na hapo ndio ushatongozwa hivyo
 
Kama umeamua kuutendea haki moyo wako, do that ila hapo pa kuacha tabia yake SAHAU!!! Kama ni tabia yake hawezi kuiacha mpokee alivyo au bakini kaka na dada tu

Dah, kama ni hivyo ngoja niendelee kuumia manake nina mawivu buku jero.
 
Kipenda roho hula Nyama kavu...madhara yake urafiki kuvunjika, kupondwa au kusifiwa kwenye nonino n.k.
 
Jirani bwana.. six pack haifichiki. Na ukiiona lazima ugune kwanza!

Kutofichika si tatizo...lakini jirani nauliza kwa rafiki wa kawaida kaiona vipi?

Lets be realistic...
 
Back
Top Bottom