Huyu Michael Jackson alipata matatizo gani kiakili?

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,882
13,172

Michael Jackson , mwaka 1972.



Michael Jackson mwaka 2001.

Mimi ni mpenzi sana wa good music, ingawaje sifuatilii sana personalities, lakini kwa huyu " mswahili" mwenzetu kujichubua hadi aonekane kama mzungu lilinisikitisha sana.
Nikiwa kijana "Off the Wall"," Billie Jean"," Black and White"," Bad" , "Thriller" ni kati ya vibao vingi nilivyo vishabikia kwa sana.
Hebu waTz tumhukumu huy Icon , alipatwa na masahibu gani kiakili?
 
Huyu jamaa nakumbuka miaka ya 99 tulikuwa tumepanga nyumba mtaa mmoja yaani tulikuwa majirani kabla ya mim kurudi India na kuja kuishi Tanzania, MJ jamaa alikuwa akipendwa sana 24/7 hrs waandishi wa habari walikuwa hawakosekani nyumbani kwake! R.I.P MJ
 

Sifa za kijinga
 

nilidhani ni thread ya miaka ile aliyokufa MJ kumbe ya wiki hii hii,umechelewa sana kuleta mada hii. mbona kama unataka kujadili mambo yanayofanana na hili yapo mengi mfano huyu kijana wa tandale sijui chibu sijui dangote anavaa kipini puani,ilibidi angalau tumjadili huyu kabla hajaharibikiwa maana MJ alianza hivi hivi mwisho akalowea kwenye uzungu, bora kumjadili huyu mbunge wa tandale ili asije nae akapotea
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…