Huyu mgeni wa ITV binafsi simwelewi kabisa!!!

Anafufua kiwanda cha korosho cha kabangu kwa pesa ya ujangili aliyoiba, analeta mapindizi gani kwenye uchumi? wakati unga wa sembe kilo 1=2000, sukari kilo 1=3000, cement mfuko 1=20,000 bati 1=20,000 huku kijini tutajenga lini? Korosho nalima mimi CCM wananipangia bei..wasubiri 2015 watacheki picha
 
Cha kushangaza ameshindwa kujibu maswali aliyoulizwa mfano: Nini maana ya mapinduzi ya kiuchumi? Sijui wamemuokota wapi huyu mzee! Nadhani ni opportunist anayejaribu kutafuta kitu fulani kwenye chama au serikali. Sikumuelewa kabisa na kuniacha na hasira kwa kusifia watu ambao hawajafanya lolote zaidi ya kupiga maneno. Maneno yameshasemwa sana sasa tunataka vitendo na matokeo chanya. Nadhani hata Fatma na margareth waliokuwa wakimuhoji waliboreka sana. Au hii yote ni mikakati ya kuifufua ccm miongoni mwa waliokata tamaa na kuitosa ccm. ITV angalieni watu kama hawa wanaweza kufifisha heshima na hadhi yenu kwani nyie ndio televisheni ya taifa mnategemewa na watanzania wote
 
Nlivyomsikia anamtaja Kinana mara ya 3 nkahamisha channel..... Cjui kilichoendelea! Jamaa nazi kweli!
 
huyu jamaa kaniaribia asubuhi yangu yaani wageni wengine hata mada iliyomleta hakuielewa hawa huwa wanajipendekeza kwenye tv ili wawapambe wezi wenzao. kinana huyu aliejiuzuru na kusema miaka 25 inatosha si alikua meneja wa kampeni. mapinduzi gani atafanya miaka minne ya uzee wake ambayo alishindwa akiwa kijana hii ni mizaa nihofu uwezo wa yule jamaa hata tule tundevu tulionyesha ni wakijiwe yule
 
nimecheka sana...umesema tule tundevu tunaonyesha jamaa katokea kijiweni?...hii kiboko kweli ndugu yangu...
 
Back
Top Bottom