Huyu mdudu gani wakuu?

Kwanza ukimgusa anajiviringisha, hicho kichwa kina kuwa hakionekan
 
Karungu yeye huyo kipindi hicho tunamshika kwa mkono kumuamishia kwenye migomba,akiingia kwenye zizi la ngombe wanaongezeka sana mwaka huo.Ila siku akionekana mita ya ubungo maziwa wanaume wa dar watajifungia ndani siku nzima.
 
Dah... kikawaida...sayansi ya darasa la 4...mdudu Ni kiumbe asiye na uti wa mgongo...mwili wake huwa na sehemu kuu 3...kichwa, kifua na tumbo...vilevile huwa na miguu6 pamoja na antenna 2[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya mambo hata sijui kama yana application kwenye real life.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…