Huyu mdada nimueleweje?

Tatizo puchu, amekushtukia kuwa usha mgonga sana kwenye puchu zako
 
Masikini mna shida sana, mkitoa msaada kwa mdada malipo ni ngono, mkitoa zawadi malipo ni ngono. Ungekua na uwezo hapo waalah usingehangaika nae
 
Sasa wew ulimuitia geto ili umfanye unavyojua ili uje uongeze comment kwenye uzi wa kula tunda ki masihara! Kwa taarifa yako, huyo mdada yupo hapa JF na alijua nia yako ya kuleta ushuhuda kwenye thread maarufu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…