Huyu mdada nimueleweje?

Mwelimishe tu aachane na habari za kumsaundisha mtu halafu anasubili ajibiwe kama kakubaliwa au laaa
Toeni maelezo yaliyonyooka tuwaelewe sio mnaongea nusu nusu na ammalizi
 
Nimekuelewa mkuu
 
Hahahahah we kwani ukaribu lazma upige simu mjomba? Huyo simu zako hazitaki deal nae ana kwa ana ili akuchane live!

Mie kwa level zangu demu akinletea huo utoto namkacha tu sitakagi upuuzi wa kuzungushana 😅
Leo nimetry kanikimbia mkuu
 
Daah..ahsante nimeelewa ila sometime nyinyi amnaga formula
 
Huyo ana bwana..na bwana wake ameshasandia mingo zako itakua kampiga marufuku mawasiliano na ww..nimemshauri akublock ila kasema akikublock kesho mazoezi atakuangaliaje? Nakushauri mpotezee tu utakuja kuumia..
 
Kweli mkuu mbona macho yake yanaonyesha kabisa kanielewa na kama anitaki si aniambie mbona mi nlishamlahisishia kazi toka mwanzo
Hawezi sema anaona aibu ila ana mtu ambaye anampenda by 100% kwa sasa
 
Huyo ana bwana..na bwana wake ameshasandia mingo zako itakua kampiga marufuku mawasiliano na ww..nimemshauri akublock ila kasema akikublock kesho mazoezi atakuangaliaje? Nakushauri mpotezee tu utakuja kuumia..
Nimekuelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…