Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 1,831
- 3,063
Kashakuweka friend zone sasa wewe na kiherehere chako unata ujiongeza zaidi.. Acha hayo mambo sio kila shimo lazima upalilie Shekh!!Habari za muda huu wana jf.
Huwa nina kawaida ya kwenda zoez kila asubuhi kuna uwanja wa shule somewhere huwa tunajumuika watu kibao kuweka viungo vya mwili sawa hapa hapa dar.
Sasa kuna mtoto mmoja nikawa nimemuelewa
Mwanaume hujui matumizi ya h mwanamke gani akukubali ajakubali ndiyo nini neno ni hajakubali. Rudi shuleHabari za muda huu wana jf.
Huwa nina kawaida ya kwenda zoez kila asubuhi kuna uwanja wa shule somewhere huwa tunajumuika watu kibao kuweka viungo vya mwili sawa hapa
Jamaa kweli ni mgeni nimegundua.Daaaah pole sana mdogo wangu,karibu ulimwengu wa mapenzi,unaonesha we mgeni kwenye hii sekta
Upo kwenye mzani labda anajutafakari.Habari za muda huu wana jf.
Huwa nina kawaida ya kwenda zoez kila asubuhi kuna uwanja wa shule somewhere huwa tunajumuika watu kibao kuweka viungo vya mwili sawa hapa hapa dar.