Huyu mdada jamani mie.

Huyu mdada jamani mie.

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,189
Reaction score
29,748
Ni huyu wa kwenye tangazo la airtel "niliahidi kumtunza daima"then anamlalia jamaa kifuani daa kapoooole! Sijui anaitwa nani? anayemjua kwa jina plz,au ni kaigizaji?
 
Huwa namcheki huyo dada,halafu najihisi nnafuraha ghafla,very cool.na hiyo shingo dah.
 
Last edited by a moderator:
1419015807477.jpg
 
Ni huyu wa kwenye tangazo la airtel "niliahidi kumtunza daima"then anamlalia jamaa kifuani daa kapoooole! Sijui anaitwa nani? anayemjua kwa jina plz,au ni kaigizaji?

Anaitwa mazoea ni mtoto wa mzee mitomingi ni jirani yangu hapa mtaani.
 
Asante mkuu utafiti,ndo huyuhuyu aseee.
 
Hakahaka jamani,me kananichanganya jamani jamani jamani.Hivi anajihusisha na nn huyu mdada mwee.
Mwenye kunipa japo access ya mawasiliano japo niwe nampa shkamoo kwani sidhani kama anaweza kunielewa kabwela mie.

Nitafute nikuunganishe nae
 
Dalili za mfadhaiko hizo...

Nina hakika skrini ya tivi yako itakuwa imejaa ukoko wa mabao si bure...
 
Ni huyu wa kwenye tangazo la airtel "niliahidi kumtunza daima"then anamlalia jamaa kifuani daa kapoooole! Sijui anaitwa nani? anayemjua kwa jina plz,au ni kaigizaji?

Nimesha mwambia, kasema anakufikiria kwanza manake anaogopa kuchezewa..
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1419018318.855858.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1419018318.855858.jpg
    21.6 KB · Views: 1,202
Back
Top Bottom