Huyu mdada ananifaa au?

ila mi naona anakufaa... tena mchukue haraka umuoe kabla hajaolewa tena.. na ukigundua anachepuka usimwache bado atakufaa tu..!!!!
 
Kwahili binafsi sihitaji hata kuuliza.....
 
Kuna watu ambao huwa wanajilekebisha baada ya kujifunza jambo, angalia mwenendo wake Kwa sasa na mpeleke akatibiwe haitachukua muda kumsoma, anaweza kuwa amejutia alichokifanya, jaribu kumpa nafasi nyingine utaenjoy sana hautoamini unachokiona kaka, asante Kwa kutushirikisha
 
[emoji121]
SAMAHANI,
UPO KIDATO CHA NGAPI MKUU?
 
Kama alishaolewa huyo hafai kuwa mkeo tena
Tatufa levo zako mana wajanja washafanya yao
Labda we utumie makombo
Na ambao hawajaolewa ambao mnahisi ni wabichi ndo makombo kuliko ata mama zao waliowazaa
 
Msaidie kupata matibabu ya tatizo alilonalo na ndo lililopelekea mtoto akafia tumboni then unamwacha maana hafai kuwa mke huyo.
 
Mwambie na wewe una mimba unalea so zile helaakurudshie ukalee wa kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…