Huyu mdada ananifaa au?

anafaa kuwa mkie ila siyo kwako wewe.. hakupendi ila anatumia udhaifu wa wewe kumpenda kuwa na wewe.. kwa maana hiyo akitokea anayempenda atasepa kama alivyosepa .. tafuta wako
 
Huyo ndiye mke wako anakufaa sana
 
Huyo mdada anataka Ndoa siyo Mume, Mwanaume unakosaje maaumuzi mambo madogo kama haya.
 
Sasa wewe kapelekwa huko saivi anakuletea makombo
 
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
 
Ye anataka ndo tu na si mengineyo
 
ko wewe umegeuzwaaaa upande wa 2 wa sarafu kwamba kumenuka uku ndo unakumbukwaaa [HASHTAG]#akufai[/HASHTAG] huyooooo
 
Yeuwiiii.... kweli mapenzi upofu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].wewe kaka njoo nikutafutie mtoto mkali

Wahenga walisema "Mfa maji haishi kutapatapa"
 
Huyu dada mi naona anakufa huenda wewe ndo humufai utasemaje unataka kumusoma amekua novel. Sasa kwa ushauri wangu rudi haraka sana ikiwezekana funga ndoa kabisa wasikuibie tena kwakisingizio cha kuolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…