Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,740
- 3,548
Nae anakupima moyo wako wa kumthamini
Hivi kwa nini wanawake wanapenda sana kupewa pesa? Yaani unafahamiana na mdada leo kesho anataka umpe hela, tabia hii ni mbaya sana, nilikutana na mdada sehemu fulani ni bosi na mshahara wake ni mkubwa mara mbili ya mshahara wangu, tukadevelop r/ship cha kusikitisha ananitumia msg nimtumie hela ya saloon, hii tabia ni mbaya kuweni wastaarabu kama ni raha mbona wote tunapata raha kunako six kwa six sasa iweje nyie mpate raha bado mhitaji ziafa?Habari wana jamvi,
Nimeshawahi kuja humu jamii forum na kuandika Post Yakutafuta mchumba, alhamdullillah nilimpata mdada mmoja ni mzuri tu kwa upande wangu kutokana na vigezo nilivyoviweka alikidhi kwakweli.
Nimeshawahi kukutana naye mara tatu, ingawa hatuja kutana kimwili sikutaka kua na haraka hiyo.
Kwa maelezo yake ananiambia anafanya kazi iringa ni mwalimu wa secondary government school mimi naishi dar na yy kwa sasa yupo dar, kesho kutwa kaniambia anataka arudi iringa,
Sasa kaniambia anamatatizo hana pesa ya kutumia hata kidogo kaniambia nimpe laki moja ya kuweza kuanzia maisha huko iringa na huo ukiwa ndo mzinga wake wa kwanza toka tumejuana mwezi mmoja now, afadhali angeanza hata na twenty kama kianzio cha kutest bana. Ingawa hiyo pesa ninaweza mpatia tuu.
Ukizingatia huu ni mwisho wa mwezi na mpaka sasa anakaribia miaka mwili yupo kazini, sasa najiuliza huyu mwanamke hana matumizi mazuri ya pesa ? Ambapo hata nikisema nimchukue awe jiko na nikimshirikisha mambo yangu hatonikwamisha kwa kua na matumizi mabaya ya pesa au ndo wale wale madem wa mizinga tuu hana Future yeyote , naombeni ushauri nimpige chini au?
hahahaha JF kunatishaa et public opinionNo wonder ulikosa mchumba huko mtaani kwako! Kwahiyo utakuwa unatupatia updates za kila mahusiano yako!!
Aint you a man?? Jambo dogo kama hilo unatafuta public openion kweli!!!
Mungu tusaidie.