Huyu mchumba wangu simuelewi

Huyu mchumba wangu simuelewi

Ningekuwa mie pesa sitoi hata kama ninayo
 
Habari wana jamvi,
Nimeshawahi kuja humu jamii forum na kuandika Post Yakutafuta mchumba, alhamdullillah nilimpata mdada mmoja ni mzuri tu kwa upande wangu kutokana na vigezo nilivyoviweka alikidhi kwakweli.
Nimeshawahi kukutana naye mara tatu, ingawa hatuja kutana kimwili sikutaka kua na haraka hiyo.
Kwa maelezo yake ananiambia anafanya kazi iringa ni mwalimu wa secondary government school mimi naishi dar na yy kwa sasa yupo dar, kesho kutwa kaniambia anataka arudi iringa,
Sasa kaniambia anamatatizo hana pesa ya kutumia hata kidogo kaniambia nimpe laki moja ya kuweza kuanzia maisha huko iringa na huo ukiwa ndo mzinga wake wa kwanza toka tumejuana mwezi mmoja now, afadhali angeanza hata na twenty kama kianzio cha kutest bana. Ingawa hiyo pesa ninaweza mpatia tuu.
Ukizingatia huu ni mwisho wa mwezi na mpaka sasa anakaribia miaka mwili yupo kazini, sasa najiuliza huyu mwanamke hana matumizi mazuri ya pesa ? Ambapo hata nikisema nimchukue awe jiko na nikimshirikisha mambo yangu hatonikwamisha kwa kua na matumizi mabaya ya pesa au ndo wale wale madem wa mizinga tuu hana Future yeyote , naombeni ushauri nimpige chini au?
Yan hela ndogo namna hiyo unalalamika? Mwambie aje kwangu ntampa,
 
Unae mwezi mzima hujampa hata hela ya soda[emoji15] unaombwa hela ya matumizi unalalama kama mbuzi anaetaka kuchinjwa. Laki si pesa mkuu mapenzi ya siku hizi nipe nikupe.
 
Wenzio tunahonga ma vX na ma Bmw na hatuwazi,we unaombwa kijipesa cha kununulia pipi unawaza?
Kama huna pesa achana na wanawake wa tanzania shehe! no free lunch in bongoland..au unadhan hzo vocha anazotumia kukupigia huwa anaokota wapi?
 
Habari wana jamvi,
Nimeshawahi kuja humu jamii forum na kuandika Post Yakutafuta mchumba, alhamdullillah nilimpata mdada mmoja ni mzuri tu kwa upande wangu kutokana na vigezo nilivyoviweka alikidhi kwakweli.
Nimeshawahi kukutana naye mara tatu, ingawa hatuja kutana kimwili sikutaka kua na haraka hiyo.
Kwa maelezo yake ananiambia anafanya kazi iringa ni mwalimu wa secondary government school mimi naishi dar na yy kwa sasa yupo dar, kesho kutwa kaniambia anataka arudi iringa,
Sasa kaniambia anamatatizo hana pesa ya kutumia hata kidogo kaniambia nimpe laki moja ya kuweza kuanzia maisha huko iringa na huo ukiwa ndo mzinga wake wa kwanza toka tumejuana mwezi mmoja now, afadhali angeanza hata na twenty kama kianzio cha kutest bana. Ingawa hiyo pesa ninaweza mpatia tuu.
Ukizingatia huu ni mwisho wa mwezi na mpaka sasa anakaribia miaka mwili yupo kazini, sasa najiuliza huyu mwanamke hana matumizi mazuri ya pesa ? Ambapo hata nikisema nimchukue awe jiko na nikimshirikisha mambo yangu hatonikwamisha kwa kua na matumizi mabaya ya pesa au ndo wale wale madem wa mizinga tuu hana Future yeyote , naombeni ushauri nimpige chini au?
Ngoja aje ku-comment maana kaiona hii
 
ndo matatizo ya kupata bwana/demu Jf
mambo yenu anakuja kuyabwaga huku tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

poleni sana!!
simuachane, kwani lazima
tafuta mwanammke mitaani, kuwa na subira!!

na tabia ya kupenda wafanyakazi muache..
tafuta mwanammke anakuridhia ana tabia njema vingine mnaeleweshana taratibu..

hata ukija kuyabwaga huku sio mbaya...
sio unayabwaga na muhusika yupo..[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]
 
hivi mzinga wa laki moja tu unakuja kupiga kelele humu dah mkuu mambo mengine bas muwe mnamaliza na washkaj kijiwen aisee....
 
kwanini kaja Dar na bado hujachukua hatua kuonana nae ana kwa ana? unaogopa wanawake?
 
Kama bado hujala mzigo mpe tu hiyo laki ila hakikisha unamgegeda kwanza
 
Siku akikupiga mzinga wa angalau milioni mbili njoo jf uombe ushauri mkuu. Laki moja ndogo mno mkuu
 
Kwa maelezo yake et anafanya kaz iringa yaeza kua kuna figisufigisu inaendelea Labda vigezo alvyokwambia vina ulakin labda mpigaji tu uyoo maana kama Ww mumewe mtarajiwa huamin kaz yake
La mgambo likilia kuna jambo
 
Si kila pesa unayoombwa na mpenzi wako ni mzinga. Kama kweli unampenda, kwa nini usimsaidie?

Unasema bora angeanza na 20,000. Kama ungeweza kumpa hiyo 20,000 kwa nini ushindwe hiyo laki na wakati unajitangaza kuwa unayo?
Eva mm penda wewe sana madam!
 
iyo laki wape wazazi wako...nauhakika watakubariki na utapata mchumba mzuri na mwenye huruma na ww....huyo piga chini mala moja....[emoji125]
 
Mjengee Ukuta faster, otherwise utajuta.

Wanaotoa mamilioni kuhonga waache wahonge wao wakati wazazi wao wanaomba njiti za kiberiti kwa majirani.

Wewe fanya kile ambacho moyo wako unaridhia bila shida-thats my formula, you can copy it.

Hiyo 100, 000 mtumie mamako au babako uone watakavyokuombea kila siku.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom