Si kila pesa unayoombwa na mpenzi wako ni mzinga. Kama kweli unampenda, kwa nini usimsaidie?Kama umemwamini na ipo mpe mkuu.
Sometimes tuwe tunatoa kama sadaka. Mtu akilia shida kama pesa ipo mpe
Gold digger gani anaomba laki..?...sema tu huyu jamaa ni muoga wa maisha_ndio maana analalamika mpaka kwenye mitandao sababu ya kuombwa laki..!!!????.she is a gold digger huyo hana lolote mkaushie tu au mwambie huna pesa kwa sasa uone atakavyo respond
Jamaa ni muoga wa maisha(mbahili kupita maelezo)....of which sio jambo sahihi hata kidogo kwenye real life.Si kila pesa unayoombwa na mpenzi wako ni mzinga. Kama kweli unampenda, kwa nini usimsaidie?
Unasema bora angeanza na 20,000. Kama ungeweza kumpa hiyo 20,000 kwa nini ushindwe hiyo laki na wakati unajitangaza kuwa unayo?
Jamani beauty mbona nimesema apewe..mimi nikiombwa kama ipo natoa kama sina namchana tu.Si kila pesa unayoombwa na mpenzi wako ni mzinga. Kama kweli unampenda, kwa nini usimsaidie?
Unasema bora angeanza na 20,000. Kama ungeweza kumpa hiyo 20,000 kwa nini ushindwe hiyo laki na wakati unajitangaza kuwa unayo?
Halafu kuja kuomba ushauri mitandaoni kwa kitu kidogo kama hiki cha kuombwa laki ni tatizo...learn to be a man kwa kufanya maamuzi yako mwenyewe mkuuHabari wana jamvi,
Nimeshawahi kuja humu jamii forum na kuandika Post Yakutafuta mchumba, alhamdullillah nilimpata mdada mmoja ni mzuri tu kwa upande wangu kutokana na vigezo nilivyoviweka alikidhi kwakweli.
Nimeshawahi kukutana naye mara tatu, ingawa hatuja kutana kimwili sikutaka kua na haraka hiyo.
Kwa maelezo yake ananiambia anafanya kazi iringa ni mwalimu wa secondary government school mimi naishi dar na yy kwa sasa yupo dar, kesho kutwa kaniambia anataka arudi iringa,
Sasa kaniambia anamatatizo hana pesa ya kutumia hata kidogo kaniambia nimpe laki moja ya kuweza kuanzia maisha huko iringa na huo ukiwa ndo mzinga wake wa kwanza toka tumejuana mwezi mmoja now, afadhali angeanza hata na twenty kama kianzio cha kutest bana. Ingawa hiyo pesa ninaweza mpatia tuu.
Ukizingatia huu ni mwisho wa mwezi na mpaka sasa anakaribia miaka mwili yupo kazini, sasa najiuliza huyu mwanamke hana matumizi mazuri ya pesa ? Ambapo hata nikisema nimchukue awe jiko na nikimshirikisha mambo yangu hatonikwamisha kwa kua na matumizi mabaya ya pesa au ndo wale wale madem wa mizinga tuu hana Future yeyote , naombeni ushauri nimpige chini au?