Huyu mchumba wangu simuelewi, ushauri tafadhali

Msandawe Halisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
647
Reaction score
351
Toka nimueleze nimecheza judo, boxing na karatee amekuwa mchokozi kweli. Mara ya kwanza kazozana na konda nikiwa naye kamrushia ngumi konda konda kajibu nikamshushia kichapo konda. Mara ya pili machinga kamshika kifuani sijui kwa bahati mbaya au laa akaanzisha sekeseke nikampa kichapo chinga Mara ya tatu mjeda kamtongoza kaja kuniita fasta sina ili wale nini kaanza kumtukana mjeda. Mjeda akamcharaza vibao nikaona isiwe tabu nikampa kichapo mjeda nikahama mtaa siku hiyo hiyo. Leo kazozana na mkurya moja huko, muuza mayai. Kanifuata bahati nzuri sikuwepo. Je siku nikila kichapo itakuwaje? Atani chukuliaje? Je huyu ni mwanamke wa namna gani?
 
daah! Mkuu yaan umekaa umefikiriiaaa ukaamua kutuandikia uongo watu wazma kweli!! Hiv sisi ndio wa kutudanganya?!
 
Bahati yako,kumbe yule binti ni mpenz wako?ningekupa kibano cha nguvu mbele yake na zaidi ya yote ningekuelekeza kibla mbele yake,baada ya hapo jiulize angekuonaje.
 
Mnaendana wewe bingwa wa kugawa vichapo na yeye bingwa wa kutafuta ugomvi. Oaneni tu!!
 
Toka nimueleze nimecheza judo, boxing na karatee amekuwa mchokozi kweli. Mara ya kwanza kazozana na konda nikiwa naye kamrushia ngumi konda konda kajibu nikamshushia kichapo konda. Mara ya pili machinga kamshika kifuani sijui kwa bahati mbaya au laa akaanzisha sekeseke nikampa kichapo chinga Mara ya tatu mjeda kamtongoza kaja kuniita fasta sina ili wale nini kaanza kumtukana mjeda. Mjeda akamcharaza vibao nikaona isiwe tabu nikampa kichapo mjeda nikahama mtaa siku hiyo hiyo. Leo kazozana na mkurya moja huko, muuza mayai. Kanifuata bahati nzuri sikuwepo. Je siku nikila kichapo itakuwaje? Atani chukuliaje? Je huyu ni mwanamke wa namna gani?

Mwambie aje kunichokoza mimi,,nimpe kichapo uje na wewe uchukue chako mkauguzane. Nafikiri ukishachezea kichapo hatarudia tena huo ujinga
 
Back
Top Bottom